kuna habari nimezipata lakn cna uhakika nazo kuwa matokeo ya clinical officer yametoka na wamebandika majina ya waliochaguliwa hapo wizara ya afya mie nko nje ya Dar. Km kuna m2 ana uhakika hz taarifa anijulishe.

Hivi selection ya walioomba wizara ya afya imetoka, na huwa inawekwa sehemu zipi maana kimya kingi.
Tafadhali tupeane updates!
hata mm nackia hivyo mkuu..halafu mbona web yao haifunguki?
Matokeo bado hayatoka,web yao haifunguki kwa sababu wapo kwenye mantanace program,kwa taarifa matokeo yanatoka kuanzia jumatatu
kaka waryoba unauhakika huo?kwamba j3.. make imekuwa kama wimbo kwamba yanatoka kesho kesho...nihakikishie kaka..of couse web yao haifunguki!
Wewe subiria kuanzia jtatu matokeo yatakua out
J3 tar 15 yatatolewa
Yakitoka jtatu kuripoti vyuoni itakuwa lini?tumesubiri mpaka basi mwenye updates please...
Yanatoka kuanzia jtatu ya wiki hii kuripoti vyuoni ni kuanzia 11/11/2012
Vipi na kuhusu wanafunzi walotuma maombi bila kugonga MUHURI WA MWANASHERIA WA SERIKALI, HAWATACHAGULIWA?
TUFAHAMISHANE KWA HILO JAMANI!
kweli wanajamii wenzangu that is confirmed detail results will be released on 15 oct
kweli wanajamii wenzangu that is confirmed detail results will be released on 15 oct
Source...!?
Follow Us Here