kwa kweli no jamani. . .nimeapply round ya kwanza pamoja na kuwa naqualify for kozi kama nne ckupata yeyote....
nomeaaply sercond round lakini mpaka leo kimya...empty. . .eti IN PRORESS . . .asa ninafanyeje tena na vyuo vimestart kuOpen???!!!

subiria second isipotoka subiria mwakani
Usiogope huwa ipo had 3rd round
ulifata process vizuri namna ya ku-apply?? nimeuliza kwa sababu nimeona mpangilio wako wa lugha ulivyo mbovu! BTW fatilia TCU na ikiwezekana jaribu kwenda direct kwenye baadhi ya vyuo kuomba.
Most discoveries happened by accident!
nenda TCU mjomba, me nlikua huko last week, watu wenye tatizo kama lako wapo wa kutosha tu, kule!
Follow Us Here