REGISTRATION FORM “A” KIPENGELE NO. 7. Inakuwaje kwa chuo cha Serikali kutaka kujua dini na dhehebu la mtu? ili hali machungu ya sensa yenyewe bado hayajaisha! what is the reason behind? Nisadieni mnaoelewa juu ya hilo
REGISTRATION FORM “A” KIPENGELE NO. 7. Inakuwaje kwa chuo cha Serikali kutaka kujua dini na dhehebu la mtu? ili hali machungu ya sensa yenyewe bado hayajaisha! what is the reason behind? Nisadieni mnaoelewa juu ya hilo
machungu ya sensa?? Na wewe ulikua mmoja wa wale wanaoweka mabango nje ya nyumba kuwa hawataki kuhesabiwa na wanawatishia usalama makarani?? Huna akili wewe. Vitu vinafanywa kwa maslahi yako mwenyewe afu una resist. Badala ya kuwaza maendeleo dogo unawaza udini na upuuzi 2.
A luta continua
Hata mm sioni mantiki ya swali lako. Kwani form ngapi za serikali zina sehemu ya kujaza dini?? Nyingi 2 mbona?? Labla wenyeji haswaa wa udsm wa2ambie kama iko kipengele ndo kmeekwa mwaka huu!!
"YouR MoST UNhaPPy CuSToMers ArE YoUr GREateST SOurCE Of LEarNInG"- BiLL GaTEs
dini ya mwanafunzi inawahusu nini, wapuzi tu. it is not kwamba wataongeza msikit au kanisa. pathetic.
Moola's the motive
u are the one who is pathetic..me naic hata hujasoma post za kamanda hapo juu ambaye kaelezea kuhusu mfano incase mtu akafa..na huo ni mfano kat ya mingi...yaan chuo kimeanzishwa toka miaka hiyoo watu wamekaa wakaumiza vichwa wakaweka hicho kipengele alafu wewe ndo unajifanya soo clever n say its pathetic.!!?grow up men
nilkuwa naelekea kuandika hapo bold na hilo ndilo lengo lake nothing else. Imagine ajali za vyombo vya usafiri kama mv bukoba, spice islander, mabasi etc mwili umeptika lkn hakuna aliyemtambua mrehemu sasa mtu huyu akazikwe kwa taratibu za dini gani? makaburi gani? ya waislamu au wakristo? na mwisho ndio hapo wavuta bange wa city wanachukua jukumu.. ha ha ha wale jamaa wanachimba kaburi linaishia magotini halafu mwili unatupiwa kama kiroba usiku mbwa wanageuza kitoweo
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
Mkuu ni kweli kabisa usemayo kwa sbb nimeshuhudia. Inafika mahali watu wanataka kujitolea kuzika dini halijulikani. Miaka ya 1979-80 nilishuhudia mbwa wakichimba maiti makaburi ya pale kaloleni jirani na shule ya Meru na kaloleni. Na yaliyokuwa yanachimbuliwa na mbwa ni hayo ya city.
Ni bora hyo dini yako ijulikane hutakosa wasamaria wa kukusitiri.
"YouR MoST UNhaPPy CuSToMers ArE YoUr GREateST SOurCE Of LEarNInG"- BiLL GaTEs
akili ndogo
A gentle hand may lead even an elephant by a single hair.
Follow Us Here