REGISTRATION FORM “A” KIPENGELE NO. 7. Inakuwaje kwa chuo cha Serikali kutaka kujua dini na dhehebu la mtu? ili hali machungu ya sensa yenyewe bado hayajaisha! what is the reason behind? Nisadieni mnaoelewa juu ya hilo
REGISTRATION FORM “A” KIPENGELE NO. 7. Inakuwaje kwa chuo cha Serikali kutaka kujua dini na dhehebu la mtu? ili hali machungu ya sensa yenyewe bado hayajaisha! what is the reason behind? Nisadieni mnaoelewa juu ya hilo
wewe ni mdini tu kibandiko mkubwa!!!!
Tatizo sio kuondolewa kwa dhambi, binadamu anatofautiana na wanyama...mojawapo ni hii ya kuwa na dini. Nimeshudia mara kadhaa pale UDSM watu wanakufa hawana ndugu na wala hawajulikani so wanarudi kwenye registration forms zako ambako kuna picha na taarifa zako zingine. Huwezi kuwa convinced kwa sababu hujakutana na dharura kama hizo. Hata kwenye ajira kwenye personal particulars kuna kipengere sio cha dini tu bali na madhehebu yako
"Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"
Dah?me nadhani mtoa mada hakufikiria,amekurupuka 2 akaona apost kwani mawazo kama haya angepaswa kufikiria nguruwe sasa me nashanga kama mwanadam anafikiria the same na nguruwe,jamani kichwa sio cha kufugia nywele
Haya mambo yapo hata nje, mimi mwenyewe kabla sijaenda chuo niliulizwa dini kwenye registration lengo lilikuwa ni kuheshimu imani za watu na kuwafanya wawe huru na maisha yao.. waislamu/hindu waliwekwa pamoja bila kuangalia ametoka nchi gani.. utakuta mkristo anakuja na nyama ya nguruwe halafu wote mna_share vyombo na fridge (unafikiri muislamu atajisikiaje hapo)... issue nyingine wahindu hawali nyama ya ng'ombe kwahiyo ukimuweka na mkristo/muislamu anayetumia ng'ombe ni dhihaka kwa hindu
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
naomba isomeke 'ndugu hawajapatikana',
nimeshuhudia watu wengi wakizikwa na makanisa/misikiti.. kama umeweza kutambua dini ya mtu wewe nenda katoe ripoti kanisani/msikitini huwa wanafanya taratibu zote za mazishi mradi tu kuwe na uhakika, hata passport zetu zinaonesha dini ya mtu. Kwa faida yako unatakiwa utembee na ktambulisho kila mhali na ukiweke mahali ambapo ni vigumu kupotea kwenye majanga, tembea na taarifa (valid) zako zote muhimu kama mtu wa kuwasiliana nae ukipata tatizo, dini etc
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
Follow Us Here