--je ni kila facalty wanafanya field kila mwka???
-- na kama una loan wote mtapewa 600000??
--je course zip zenye field??
MSAADA WENU NI MUHIMU
--je ni kila facalty wanafanya field kila mwka???
-- na kama una loan wote mtapewa 600000??
--je course zip zenye field??
MSAADA WENU NI MUHIMU
Kila kozi ina field sema wengine wanayo kuanzia first yr, wengne kuanzia 2nd yr na wengne third yr. Kwa sasa pesa ya field ni flat yaan haitolewi kwa %. Kila mtu atapata kiwango sawa regardles of his loan%
Wakubwa mnisaidie hivi nna field mwaka wa kwanza, bachelor of engineering in civil engineering
Follow Us Here