jaman mim nilichaguliwa IFM chuo ambacho ckukiomba,niliapply na bodi ya mikopo,nilivyoona wamenichagua IFM,nilikata tamaa sababu ckuwah kusoma hesabu wala masomo yoyote ya biashara,nimejitahid kubadilisha chuo lakin ikashindikana,sa hivi,cha kushangaza majina ya mkopo yametolewa na HESLB na nimepa na nimepata 3,700,000,sasa mi nimesha apply chuo kingine bila kutumia TCU,na sa hivi nataka niende HESLB mapema ku u dis allocate mkopo kwenda IFM, kuja chuo nilichoomba,jaman wapendwa je INAWEZEKANA?

Reply With Quote
Follow Us Here