Je wanazuoni wenzangu ebu nisaidie mawazo,elimu yetu watanzania ni utatuzi wa matatizo tuliyonayo wote au ni utatuzi wa mtu mojamoja?

wewe kama wewe ulishatatua tatizo lipi kwa kutumia hiyo elimu yako ulionayo..
ukiwa na akili ya kuitumia Hyo Elimu utatatua matatizo yote mkuu.
Follow Us Here