mimi nmepata mkopo wa 26720000 na ada ni sh 1300000 sasa nmepata asilimiaa ngap??nmejaribu kupitie tread kadhaa sijaelewa kabisaaaaaaa>
mimi nmepata mkopo wa 26720000 na ada ni sh 1300000 sasa nmepata asilimiaa ngap??nmejaribu kupitie tread kadhaa sijaelewa kabisaaaaaaa>
samahanini hyo ni sh 2,672,000
hapo toa meal and accomodation allowance pamoja na stationary halafu kilicho baki ndio ada yako bei ya meal ni 7,500/= piga sasa hesabu mwenyewe..
kama course yako haina field kwa mwaka wa kwanza, basi ni hivi:
mills & accomodation 1,800,000.
Book&stationery 200,000. Jumla 2mil. Sasa hii 2mil itoe kwenye huo mkopo wako wa sh 2,672,000, itabaki sh 672,000 (je 672,000 ni asilimia ngapi ya ada yako ya sh 1,300,000). Bila shaka ni kama 50% hivi.
Nina kijana wangu jina halikuonekana ktk heslb, ina maana mimi mzazi natakiwa nimlipie full gharama ya course nzima pale IFM? sasa kama hela yangu ya mafao imepokonywa na PPF itakuwaje? mbona serikali inatufanya tuichukie?
lete nikutunzie!
samahani tena hivi hii hela walizotupa ni kwa mwaka mzima au ni kwa semister
Follow Us Here