hiyo ni zawad yangu kwao...vp wadau mnaniunga mkono????
hiyo ni zawad yangu kwao...vp wadau mnaniunga mkono????
watu kama nyie ndiyo mnapaswa kuchomwa moto kwa unafiki na ubinafsi..shezi type..
dah.....hii thread inahitaji break ya ubongo.......
Life is too short to waste time hating anyone.........
Na waliokosa wafanyeje?
mkubwa hapo umekurupuka......
ningekuwa nakufundisha ningekukamata na nisingekuachia mpka udisco sio kwa sababu ya kuwapa ccm kula ila kwa uwezo wako mdogo wa kufikiria inaelekea ukiendelea utakuwa mbegu mbaya na uko tayari kuuza nchi kwa kipande cha sabuni.
kwa kifupi hufai kuaminiwa katika sehemu yeyote kwa kuwa unaonekana wazi wewe ni mpokeaji rushwa.
sina ubaya na wewe kuipigia kura ccm lakin kama vigezo ndo hivyo hufai kabisa na si dhani kama humu kuna kufaa binafsi sina chama lakni huu ulioongea ni upuuzi na unaonyesha uwezo mdogo hata wa kupambanua mambo na sina uhakika kama umesoma shule zetu zile za kwenda na fagio na dumu la maji lazima umesoma shule za kumbembelezwa na ndani ya ratiba kwa siku kuna kulala wewe ni zaidi ya kilaza
pole sio mimi ni vidole vyuangu.
Hawa ndio wanaliwaga pesa eti wapewe ajira Idara ya Usalama wa Taifa!! sasa hapa unategemea tuzalisha product gani kama siyo ujinga plus plus!!
Anachangamsha barza tu! Inafaa thread hii ipelekwe kwenye jukwaa la hoja na habari mbalimbali..
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
But, if you think again, neither does milk."
Vituko Vya Zenj
wewe, pamoja na wale wanaokubaali kuhongwa kwa t shirt na kanga, yafaa mfungwe jiwe la kusagia ngano mgongoni na mtoswe baharini. Kwa maana wewe ni hatari kuliko nyoka mwenye sumu kali.
“ Hata jua liwake vipi, haliwezi kukausha bahari.”
dah kwani umepewa au umekopeshwa??
Blackthought
tehe tehe umekoma kupost ushuz ona sasa matusi hayo kwikwikwikwikwiki
Unawapa kura tu.?
Wape na shimo la udongo basi..!
Teh teh me napita tu jamani...................... Ccm hoyeeeeeeeeeeeeee.
mwenye busara habishani
hahaaaa wanajamvi msameheni...hicho kilikuwa ni KIRARURARU chake cha kupewa mkopo
yap usiwe mchoyo wa fadhila akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. wazee wako kijijini wanahongwa kapelo na kanga wanaipigia CCM kura sembuse wewe elimu.
Follow Us Here