hivi nlikua naomba mnitonye habar ya mtu aliyepata mkopo kwa div 2 au 3
hivi nlikua naomba mnitonye habar ya mtu aliyepata mkopo kwa div 2 au 3
Ckia dv haipo kwenye vigezo vya kupata mkopo,kuna jamaa zangu mbona wamepewa na 3 tena za 15,16
wapo wengi sana
wapo wengi tu tena 100% bt nliowaona ni science
Wapo ata art wamepewa pesa yakutosha m 3.6 wengine 3.4
yap wako wengi kuna jamaa anapiga public relation saut kala mia ana div 3 ya 15
3 ya 16 tena sheria kalambwa mia,watu wanabahati zao banah
Samhani naomba msaada jinsi ya kuyapata majina waliopata mkopo,maana niwefungua web ya heslb sitayapata
eti mtu kma kapewa milioni 3 laki 8 ni asalimia ngapi
mbona hata mi nmepata
HADI Non priority wamepiga mpunga kila mtu na nyota yake ila Tusikate tamaa kwa waliokosa nikuanzisha harakat za kufuatilia mungu yupo atawasaidia
acha hzo me mwenyw nina zote mia tena nachukua internation business..... so haijalishi kama una tatu au 2 dvs..... hii ndo ccm bhana. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI......... Hoya ni masihara tu msiaze siasa.....
mwenye busara habishani
hakuna cha division wala nn mimi nina div 1 degree course priority na mkopo cjalamba kudadeki
Follow Us Here