Yan hiv ndivo navoexpress furaha yangu. Pole kwa wale waliochagua education bila kupenda kisa wapate mkopo sisi tumechagua tunavopenda na mkopo tumepata
Yan hiv ndivo navoexpress furaha yangu. Pole kwa wale waliochagua education bila kupenda kisa wapate mkopo sisi tumechagua tunavopenda na mkopo tumepata
!!gams "G" baby!!
ukita kujua umepata asilimia ngapi za mkopo unafanyaje kwasababu ada ni milion 1.3 na yeye kapata milioni 3.1 nawasilisha
Van
take t easy fella.
Last edited by Good Guy; 20th September 2012 at 09:03. Reason: CAUSE HE CAN
A luta continua
ivi tunajua kunakulipa kweli!!!!! ila hongeren tuliopata hasa wale wa non priorit.....
Kudadeki nimelamba mkopo
aliye umba saba aligundua kwamba lazima nane ikusumbue kuandika....kimya kinyemi(nimemaliza)
Tupo pamoja sana, ikasemekana tumetupiwa ifm kwenye non-priority programs. Lakin...
Oyeeeeeeee.
Naomba niulize swali kama kukopeshwa tunafuraha namna hii.
je, wale watakao pata grants watafurahia namna gani??
kilichobak ni misuli tu na matumiz mazur ya huo mkopo
!!gams "G" baby!!
hivi watu wa account wamepata mkopo kweli maana tulitishwa...
Follow Us Here