JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

  Report Post
  Page 14 of 16 FirstFirst ... 41213141516 LastLast
  Results 261 to 280 of 312
  1. Maganga Mkweli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2009
   Posts : 2,031
   Rep Power : 1159
   Likes Received
   745
   Likes Given
   2101

   Default Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   NAOMBA CLICK HIZI LINK TAFADHALI NAJITAHIDI KU UPLOAD KADIRI NTAKAVYOWEZA ILA USHAURI MNGESUBIRI BAADAE MAANA WEBSITE YA LOAN BOARD IKO CHINI MAANA WATUMIAJI WAMEZIDI KIPIMO KWA SASA..

   UPDATE
   NAONA ZILE LINK ZA MWANZO WAMETOA UNAWEZA PATA MATEKEO ZAIDI KWA KUFUATA UTARATIBU HAPO CHINI
   Welcome to HESLB
   First Year Loans Allocation Results
   Written by Administrator
   Thursday, 20 September 2012 06:03
   Thank you for your patience while our technical experts were solving technical glitches in our servers. Loans Allocations for First Year students for Academic Year 2012/13 are now available in our website. Click the following link to access the site with the results (N.B: Please allow popup blocker in your browser) View Results
   Nimejitahidi kuupload link karibia zote kama utakuwa na PC itakuwa vyema sana najua watu mnatumia simu itawasumbua hii kuscroll
   nafikiri hii ni njia bora kuliko kupitia website ya loan board kwa sasa maana watumiaji ni wengi sana mpaka watakapopungua..

   JINSI YA KUKOTOA ASILIMIA ZA MKOPO/ MEANS TEST CALCULATIONS YA LOAN YAKO
   NIMEONA WATU WENGI WANAHANGAIKA NA HII KITU
   NTATOA MTAZAMO WA JUMLA KWA UPEO WANGU, NI HIVI LOAN BOARD KWENYE HII LIST WAMEWEKA LUMP SUM / YAANI JUMLA YA PESA YOTE KWA MWAKA WAKO WA MASOMO 2012/2013 TOFAUTI NA MIAKA MINGINE WANAWEKA GRADE KABISA UNAJUA WEWE NI ASILIMIA NGAPI HIYO JUMLA UNAICHNGANUA KIRAHISI, KWA WEWE ULIYEPATA MKOPO NA KWA MUJIBU WA SERA YA BODI KUNA UTARATIBU WAO HUU WA MEANS TEST/ UTAPATA GRADE YA MKOPO KULINGANA NA VIGEZO WALIVYO VIWEKA AMBAVYO MUOMBAJI LAZIMA AVIFIKIE /AKIDHI ILI APATE MKOPO .NA KWA MUJIBU WA HIYO SERA YAO NDIO KUNA HAYO MAMBO YA PRIORITY NA NON- PRIORITY KOZI ,NATUMAINI MNAKUMBUKA WAKATI MNAJAZA FOMU ZA MIKOPO MLISOMA MIONGOZO ILIYOKUWA INATOLEWA NA BODI YA MIKOPO .
   MCHANGANUO WENYEWE HUKO HIVI .
   1.ADA/ TUITON FEES (HII INATOLEWA KWA GRADE NDIO INA ASILIMIA SASA)
   2.MEALS AND ACCOMODATIONS/ CHAKULA NA MALAZI/ BOOM (HII NI FLAT RATE KWA WOTE WANAOPATA MKOPO KUANZIA ASILIMIA YA CHINI KABISA MPAKA ASILIMIA 100% HII NDIO PESA MNAPEWA WOTE SAWA)- NASIKIA SIKU HIZI NI SH 7000/=
   3. STATIONARY AND BOOKS ALLOWANCES/ VITABU NA STATIONARI( HII NAYO NI FLAT RATE HAINA PERCENT )
   4.PRACTICAL TRAINING/ TEACHING PRACTICES( WANAITA HELA YA FIELD HII INA PERCENT KUTEGEMEA NA GRADE UTAKOPATA) NA HII KUNA BAADHI YA KOZI HUWA SINAANZA FILED KUANZIA MWAKA WA KWANZA..
   5. SPECIAL FACULTY REQUIREMENT( KUNA BAADHI YA KOZI HUWA WANAPEWA HII PESA KWA AJILI YA VITENDEA KAZI KAMA DRAWING BOARD CALCULATOR NK
   6. PROJECT/ RESEARCH ( HII HUWA WANAPEWA WATU FINAL YEAR I.E 3RD YEAR , 4TH YR NK)
   USHAURI
   TUMIA HUMCHANGUNUO KUFANYA HESABU .. NI HESABU RAHISI SANA YA MAGAZIJUTO
   King’amuzi uwezo (Means Testing) ni nini?

   Huu ni mfumo wa kuchambua na kubaini uwezo wa kiuchumi wa mwombaji mkopo. Ni mfumo wa kompyuta ambao umetengenezwa ili kupokea taarifa na kuzichambua kulingana na vigezo vilivyopo na hatimaye kutoa matokeo juu ya uwezo wa kiuchumi wa mwombaji. Zoezi la kung’amua uwezo wa kiuchumi wa mwombaji hufanywa kwa kutumia taarifa za mwombaji mwenyewe alizotoa katika fomu ya maombi ya mikopo. Matokeo ya zoezi hili huwagawa waombaji katika makundi kumi na moja kama ifuatavyo: A (100%), B (90%), C (80%), D (70%), E (60%), F (50%), G (40%), H (30%), I (20%), J (10%) & K (0%).


   KUMBUKA UNAWEZA PATA ASILIMIA 0% YA MKOPO HII INA MAANA UTAPATA BOOM NA STATIONARY TU
   JAMBO JINGINE LA MSINGI NA MUHIMU HASA KWA WALE AMBAO WAMEPATA ADMISSION KWENYE VYUO MBALIMBALI NA MAJINA YAO WAMEYAKOSA KWENYE LIST HII YA BODI NAOMBA WAWE WATULIVU KWA SASA WASIPANIC SANA KUNA NAMNA NYINGI TU ZA KUSOLVE HAYA MATATIZO KWANI SIO MWISHO WA SAFARI KUNA APPEAL HUWA ZINAFANYIKA NA HII MARA NYINGI MKIWA CHUO KUNA UTARATIBU HUO KUNA KUCHANGANYWA MKOPO KUPELEKWA CHUO KINGINE NA WEWE KUPANGIWA CHUO KINGINE KUNA BATCH NYINGINE ZINACHELEWA MPAKA WIKI HATA YA SITA YA MASOMO..

   KUNA MDAU gkiwango AMEANZISHA HII THREAD HOPE NI VERY USEFUL KWA WALE NAOSUMBUKA KUFUNGUA HIZI LINK
   UNAPATA DIRECT PDF FORMAT
   Kwa wale ambao bado hajaona majina yao heslb pdf hizi hapa unaweza download ili uwe na copy yako
   Last edited by Maganga Mkweli; 22nd September 2012 at 21:30.


  2. miminho's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th February 2012
   Posts : 34
   Rep Power : 504
   Likes Received
   5
   Likes Given
   29

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   mtandao upo chini sana

  3. RIVI SHIRIMA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 22nd January 2012
   Location : dar es salaam
   Posts : 31
   Rep Power : 508
   Likes Received
   2
   Likes Given
   2

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   HONGERENI SAN BODI KWA KUTUMALIZA KISAIKOLOGIA KWANI KM CHUO KINA MAJINA 200 WA KITIVO KIMOJA ALAFU MWANAFUNZI HUYO KAPANGIWA NA TCU NA ADA YAKE NI KUANZIA MILION MBILI 2000000 NA KUENDELE LAMDA MPAKA MILION TATU 3000000

   .

   NA NINYI WAJOMBA WA TCU WANA MPANGO GANI NA SUALA LA KUREGULATE ADA ZA VYUO VIKUUILI WANAFUNZI WOT WAPEWE HAKLI SAWA KWA SUALA LA ULIPAJI WA ADA

  4. #263
   SG8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2009
   Location : DSM
   Posts : 2,905
   Rep Power : 4379
   Likes Received
   947
   Likes Given
   884

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   Mbona haifunguki.... kuna tatizo gani?
   "Show your mind, not your behind"

  5. mwanasociety's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th August 2011
   Posts : 11
   Rep Power : 528
   Likes Received
   0
   Likes Given
   5

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   Jamani wale walo fanya appeal mbona hatupo this is not fair mhhhhhhhhhh

  6. Mwantela92's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th January 2012
   Location : Mwanza
   Posts : 46
   Rep Power : 511
   Likes Received
   2
   Likes Given
   15

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   jaman naomben link ya saut mwanza


  7. Maganga Mkweli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2009
   Posts : 2,031
   Rep Power : 1159
   Likes Received
   745
   Likes Given
   2101

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   Quote By Mwantela92 View Post
   jaman naomben link ya saut mwanza
   http://www.heslb.go.tz/index.php?opt...=379&Itemid=70
   LIKE NOTHING HAPPENED.... AND LIFE GOES ON...


  8. gkiwango's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th October 2011
   Location : Babati, Manyara.
   Posts : 87
   Rep Power : 532
   Likes Received
   67
   Likes Given
   50

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   Quote By Mwantela92 View Post
   jaman naomben link ya saut mwanza
   Nenda hapa then click link ya nne kutoka juu Kwa wale ambao bado hajaona majina yao heslb pdf hizi hapa unaweza download ili uwe na copy yako

  9. ZEPHANIA LEMBRIS's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 14th August 2012
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Hatimae bodi ya mikopo yaweka majina na asilimia za kila mwombaji.

   Quote By Eriglo View Post
   hamna chochote.
   acheni kutudanganya

  10. SILAYO ERASTO's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 20th September 2012
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Baadhi ya majina bodi ya mikopo heslb

   Hayo majina yako wap??nisaidieni

  11. Zabushir's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 15th January 2012
   Posts : 7
   Rep Power : 504
   Likes Received
   5
   Likes Given
   6

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   hv apo ndo mwisho kwa ambao hawajakuwa selected?is there any hope ya kusubiria?

  12. Maganga Mkweli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2009
   Posts : 2,031
   Rep Power : 1159
   Likes Received
   745
   Likes Given
   2101

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   Quote By Zabushir View Post
   hv apo ndo mwisho kwa ambao hawajakuwa selected?is there any hope ya kusubiria?
   endelea kuwa na matumaini
   LIKE NOTHING HAPPENED.... AND LIFE GOES ON...


  13. samgane's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 20th August 2012
   Posts : 8
   Rep Power : 473
   Likes Received
   0
   Likes Given
   2

   Default Re: Hatimae bodi ya mikopo yaweka majina na asilimia za kila mwombaji.

   yapo tuu mwana

  14. chokest's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 9th August 2012
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   jamani hao bodi ya mikopo si watupe hayo majina tujue

  15. kigoma ndio kwetu's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 19th September 2012
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   mi nashindwa kuwaelewa kabisa hawa jamaa waliopewa usimamiaji wa suala zima la mikopo ya elim ya juu!! wameweka majina then wameyatoa na siku zmeisha kwa nini wanawasumbua watu km mmeshindwa mjiuzulu!!! mtu kapata chuo then wamnyima mkopo so atasomaje ikiwa kasomea shule za kata!! huo ni ubaguzi toeni kwa wote waliopata admition bana kumbuka pes hizo ni za watanzania wote na ndio walipa kodi!!! inauma sana!!!

  16. zakayo magoro's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 19th September 2012
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Default Mkopo.

   Tuliopata mkopo ndg zang hongeren sana hata mliokosa au jina lako halijaonekana kwa ss yanashughulikiwa msikate tamaa. Mungu yupo pamoja nas

  17. MTOTO YATIMA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st July 2012
   Posts : 30
   Rep Power : 485
   Likes Received
   3
   Likes Given
   18

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   jamani mbona nikija kufungua haya majina ya walio pata mkopo inagoma au ni kwenye PC yangu 2!

  18. #277
   Mwesy's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 24th November 2010
   Location : Mwanza
   Posts : 5
   Rep Power : 563
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   Huku kweli ni kurushana roho.

  19. Henryfupi's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 17th February 2011
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   mbona haifunguki wadau

  20. SIMFUKWE GABRIEL's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 18th September 2012
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   Mikopo kwa akina nani?

  21. Ameleena's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 12th July 2012
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

   Wadau naomba mniangalizie Jina la kama nimepata Mkopo au nimekosa jina STEPHEN PETER-S0123/0085/2002 st.JOSEPH UNIVERSITY Songea.


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...