Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania.
Here is the list of 10 greatest secondary schools ever to occur in TANZANIA. This represents the all time best sec school since the death of Tanganyika. 1. MZUMBE 2. MARIAN 3. FEZA 4. KIBAHA 5. FRANSIS ST 6. KIFUNGILO 7. MAUA 8. ILBORU 9. TABORA 10. KILAKALA
Re: Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania.
By Jodoki Kalimilo
Enzi hizo mtu akiingia shule za government tu tayari ana division 111 kwani shule nyingi division 0 na 4 zilikuwa ni chache sana au hakuna kabisa na ukichaguliwa lazima ufanyiwe sherehe na kusafiri ilikuwa kwa warrant, hapo kwenye list kulikuwa na KIBAHA ilikuwa ni shule ya agriculture
Umenikumbusha Kibaha ilikuwa special kwa wale waliofaulu vizuri form four kwenda Form six kwa comb ya CBA.Darasa zima A Level lilikuwaga ni la vipanga watupu enzi hizo.
Re: Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania.
By fidelis zul zorander
Hakuna cha great skuls wala cha mama ake sijui nini..nyie someni hizo sijui mnaita marian me nasoma changanyikeni unapiga one na mimi napiga one alafu tunakutana facult moja university alafu ndo tunaona nani bora kudadeki..
Kweli kiongozi kuna mazingira mengine mtu anapata one kutokana na kusoma shule ambazo technolojia ipo limited anajikuta anasoma naturally na akilikuta swali analijibu naturally kutumia uzoefu wa alichojifunza shule na kujisomea lakini pia kuna shule zingine unakuta mtu anapiga one kwa kukalilishwa past papers za toka mwaka 1970 mpaka 2010 na ukichanganya watunga mitihani siku hizi wameisha kijana kila swali alishaliona. (hapa ninachotaka kusema kuna ambao wanafaulu kwa kukalili maswali na majibu ya mitiani iliyopita ambayo kwa miaka ya karibuni kuna mpaka vitabu vya maswali na majibu ambavyo zamani vilikuwa vinatumiwa na walimu tu na kuna ambao kutokana na mazingira wanaoishi wana attempt swali moja kwa moja na anafaulu). Na ndio maana vijana wanaomaliza shule za siku hizi unakuta amepiga point kali lakini ukikaa nae unapiga nae story (general knowledge) unakuta yupo shallow.
Re: Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania.
By KENET
Umenikumbusha Kibaha ilikuwa special kwa wale waliofaulu vizuri form four kwenda Form six kwa comb ya CBA.Darasa zima A Level lilikuwaga ni la vipanga watupu enzi hizo.
Those days elimu ilikuwa juu, pia nimekumbuka kwa watu wa biashara kulikuwa na Shycom (A-level) ambayo imetoa product nyingi sana katika masuala ya accounts, enzi hizo kulikuwa na shule za ufundi, biashara na kilimo bila kusahau shule za kijeshi, watu walikuwa wanajisomea wenyewe pasipo tuition, ukiwa una shida unaenda kwa mwanafunzi ambae amekuzidi kidato anakupiga shule ya nguvu ambapo siku hizi watu wanasoma maswali na majibu ya mitihani mbalimbali iliyopita na si kujifunza topic mbalimbali na ndio maana ukimchukua mtu aliemaliza shule enzi hizo mpaka sasa anakumbuka vitu wakati aliemaliza miaka mitatu iliyopita alishasahau kutokana na mbinu wanazotumia sasa na zilizotumika enzi hizo
Tatizo wanaobishania humu ni watoto walisoma miaka ya juzi kuanzia miaka ya elfu mbili.Sisi tuliosoma enzi hizo za Mwalimu tunazijua shule ambazo ukisoma kila mtu anakukubali na zilikuwa zinajulikana kama shule za vipaji maalumu.Nikianza kwa kuzitaja kulikuwa na shule maalumum kama;TABORA BOYS,TABORA GIRLS,MAZENGO,MOSHI TECHNICAL,TANGA TECHNICAL,IFUNDA TECHNICAL,MTWARA TECHNICAL NA RUVU BOYS. Anayebisha atakuwa ni kati ya wale waliosomo miaka ya hivi karibuni kuanzia miaka ya 2000 na kuendelea,Kulikuwa hakuna cha Mzumbe wala Ilboru wakati huo.

Walimu walikuwa wanajituma.Mwalimu anamalizia kipindi mwenzake anamsubiri nje ya darasa aingie naye aanze kufundisha.Walimu wlikuwa wanafurahi wanafunzi wao wakifanya vizuri.

Kwa waliobahatika kusoma masomo ya sayansi kulikuwa na Laboratory Technician ambae ukipigwa pindi na mwalimu ukiwa library anaku-support kwenye practical
Re: Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania.
By gobore
Hapo umeacha Msalato
Msalato unanikumbusha enzi zile walikuwa ni ma-partner na mazengo basi kukiwa na disco bus linatumwa kuchukua warembo japokuwa walikuwa wanavaa uniform na mwisho wa disco ni saa 12 ilikuwa burudani tosha
Re: Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania.
Enzi zetu hizo kufaulu ilikuwa inatolewa kwa mgawo; nakumbuka mwaka niliomaliza shule ya msingi, wilaya yetu iligawiwa nafasi hamsini tu za kufaulisha. Mie mwenyewe nilishia kwenda private na nilifanya vizuri tu
enzi zetu hizo kufaulu ilikuwa inatolewa kwa mgawo; nakumbuka mwaka niliomaliza shule ya msingi, wilaya yetu iligawiwa nafasi hamsini tu za kufaulisha. Mie mwenyewe nilishia kwenda private na nilifanya vizuri tu
lakini ilikuwa sifa kusoma, government school, maana yake ni kwamba umafaulu kuliko wengine ndio maana ukachaguliwa! Sure we were looking down to those who went to private school (kasoro seminaries na intl schools) hata kama ni kaka yako wa tumbo moja.
unachokisema ni kweli kabisa Kaunga, kwanza kulikuwa na matabaka kama ifuatavyo;
1. Shule za Vipaji maalum
2. Shule za Ufundi
3. Shule za Bweni (Jinsia moja)
4. Shule za Bweni Mchanganyiko
5. Shule za kutwa
6. Shule za binafsi
Jinsi unavyoelekea chini ndio jinsi ujiko ulivyokuwa unapungua...kumbuka shule kama Ilboru na Kibaha kuna miaka ziliondolewa hadhi ya kuwa vipaji maalum, ile hadhi ya kitaaluma nayo iliporimoka
Re: Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania.
By KENET
Tatizo wanaobishania humu ni watoto walisoma miaka ya juzi kuanzia miaka ya elfu mbili.Sisi tuliosoma enzi hizo za Mwalimu tunazijua shule ambazo ukisoma kila mtu anakukubali na zilikuwa zinajulikana kama shule za vipaji maalumu.Nikianza kwa kuzitaja kulikuwa na shule maalumum kama;TABORA BOYS,TABORA GIRLS,MAZENGO,MOSHI TECHNICAL,TANGA TECHNICAL,IFUNDA TECHNICAL,MTWARA TECHNICAL NA RUVU BOYS. Anayebisha atakuwa ni kati ya wale waliosomo miaka ya hivi karibuni kuanzia miaka ya 2000 na kuendelea,Kulikuwa hakuna cha Mzumbe wala Ilboru wakati huo.
Credit kwenu wazee, u did it without wikipedia and google hahahahahahahahaha
Blackberry & Jamiiforums addict since 2008 Now : BlackBerry Q10 OS 10.1.0.238 and BlackBerry Playbook 16GB OS 2.1.0.1526 Before : Bold 9900, Curve 9360, Curve 8520
Re: Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania.
By Nyani Ngabu
Ilikuwa aibu kusema unasoma shule ya private?
Ndiyo kwanza nayasikia leo hayo maana mimi nimesoma private na sijui hata mmoja niliyesoma naye ambaye alikuwa anaona aibu.
Sasa kama you were both naked mtaonaje aibu? Wewe si ulishasema you were not doing well in school? Kufaulu day school na kusoma private was a really big shame hata kama babako anazo.
I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou
Re: Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania.
By King'asti
Sasa kama you were both naked mtaonaje aibu? Wewe si ulishasema you were not doing well in school? Kufaulu day school na kusoma private was a really big shame hata kama babako anazo.
It never was a 'big' shame during my time.
Last edited by Nyani Ngabu; 23rd September 2012 at 14:20.
Follow Us Here