Jukwaa la Elimu (Education Forum)Educational discussions in here... If you have some College/School materials and you wanna give them to your fellows pls do that favour to them. Let them get educated here! Become a Member to enjoy more stuffs
Wewe ulimaliza pale Mkwawa mwaka gani ? Aisee namkumbuka sana Mwang'oka kipindi cha baridi yeye alikuwa havai sweta hata kidogo . Jamani anajua Mgohamwende yuko wapi ? yule jamaa namzimia sana alikuwa ana misimamo yake ambayo alikuwa anaifuatilia kama vitabu vitakatifu. Kwa wale ambao mlimaliza mwaka 1996 na 1995 mtayakumbuka haya majina
1. Joel Karanja (HP)
2. Jeremiah Nangolo
3. Kyande Salehe
4. Joel Ulomi
5. Emily lyotella
6. Brigedia " Albert"
7. Lusivya Mrisho " Mase Mase"
Heri yako wewe umemsahihisha yule aliyesema pale makanyagio alikuwepo mtu anaitwa Nelson, mi nakumbuka mtu aliyekuwepo pale alikuwa anaitwa Nelkon(japo) si jina lake halisi. Ila mimi nilikuwa Mkwawa 96-98 na enzi za Mgohamwende, sijui yuko wapi saa hizi huyo SERIOUS GUY!
Vipi wale jamaa zangu watumiaji wa ulanzi kule Mkimbizi mnapakumbuka?
Nasikia Mwangoka alipata shule nyingine? Wadau mna data ni ipi na wapi?
Mkuu nami nilikuwa miaka hiyo 1996-1998 Mgohamwende nilikuwa namkubali sana yule mzee alikuwa na misimamo,unamkumbuka yule kiranja wa DH somebody Kayombo hivi sijui atakuwa wapi.
ngui nasikia alifariki ajalini songea, mwenye uhakika atoe basi ticha wetu, yaah!
alishafariki? mwenye data kamili atupatie basi,nakumbuka ilipokuwa zamu yake asubuhi alipokuwa anakuja kule mabwenini kwetu magembe na kuanza kutufukuza twende madarasani,kama amekufa apumzike kwa amani.
alishafariki? mwenye data kamili atupatie basi,nakumbuka ilipokuwa zamu yake asubuhi alipokuwa anakuja kule mabwenini kwetu magembe na kuanza kutufukuza twende madarasani,kama amekufa apumzike kwa amani.
Unanikumbusha mambo ya "Gembe na Kongoro"
__________________ Be not afraid of growing slowly, be afraid only of standing still. -- Chinese Proverb