Jukwaa la Elimu (Education Forum)Educational discussions in here... If you have some College/School materials and you wanna give them to your fellows pls do that favour to them. Let them get educated here! Become a Member to enjoy more stuffs
Watu wa language nafkir mnamrem Masatu mzee wa hasira za faru, Shaban ist hukoo! kihava wa history mzee wa shalo! geog mshamrem Mirambo almaarufu Fantamagorian! NELKON nackia kasepeshwa na SENSA ya Taifa dah! ndo lyf wanaa! pamojaa! gawa nyuuz!
Vipi Chuwa yeye bado yupo???
__________________ Be not afraid of growing slowly, be afraid only of standing still. -- Chinese Proverb
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
Chuwa mie sina hakika sana bt ntakurushieni nkipata news! Ebanae cku hizi full mkeka hadi geti kuu! Walinzi na fence ya seng'eng'e, ila cku hizi ground halitumiki efektive, ma ustaadh wenzgngu mnarememba msikiti wetu, al adhhar, duh 2lipiga sana mkeka pale, viboko kwa wasaliti, ah. Suruali njiwa mmh! Imani we acha tu! Mungu ibariki mkwawaaa! Mmoja aandike songi la shule kama anakumbukaa! 2mit tena wanaa!
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
mbona mnamsahau kaaya? second master around 1993-6
alikuwa anatukana wanafunzi live kwenye parade. aliwahi kusema nyie darasa ......... mtajamba cheche!!!!!! baada ya wanafunzi kukataa kukata kuni za kupikia
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
Kwa wana mkwawa waliomaliza miaka ya mwishoni kabla ya kubadilshwa watakuwa wanamkumbuka mzungu (Mr. Bob) aliyekuwa anafundisha comb za sayansi kwenye inorganic chemistry. Zungu alikuwa haeleweki kabisa class maana anatema ngeli ya kiamerika, raha zaidi akipewa zamu coz mambo ya kukimbizana yanakuwa likizo wiki hiyo.
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
Kuna jamaa mmoja alikuwa anabeba physics kichwani then anakuja kutema class, tabu ni kuelezea ila alikuwa na notes tamu sana. Paper zake ni balaa , jina lake limenitoka kidogo ila somebody like NGOI
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
Mgimwa nafkir bado yupo iringa coz kuna cku nilimit nae town ir. Huyo mchizi wa kizikx nishamnyaka si mista garigo, au cyo! Kakupigisha kisayankrimu pale nini, pia nakumbuka pindi ndo 2najsepesha zea ndo wakampiga kinyota akapanda akawa makamu! Ebwanae mie nmesahau songi la chama la mkwawaa! Mnakumbuka mashndano ya don bosco!!
Kuna jamaa mmoja alikuwa anabeba physics kichwani then anakuja kutema class, tabu ni kuelezea ila alikuwa na notes tamu sana. Paper zake ni balaa , jina lake limenitoka kidogo ila somebody like NGOI
Huyo alikuwa anaitwa NGUI, alikuja kutepeta baada ya Kuwa Second Master, shughuli zikawa nyingi akaacha kufundisha Physics. Nakumbuka wakati niko pale kuna mwingereza mmoja ndio alikuwa anafundisha Physics.
__________________ Be not afraid of growing slowly, be afraid only of standing still. -- Chinese Proverb
Haya ile jamii ya tuliosoma mkwawa mpo? ebu tujikumbusheni yaliyotokea skul,yeyote mwenye kumbukumbu ya chocote we mwaga tuu. mimi namkumbuka sana Nelkon na Mzee Chuwa, usisahau mama Uswege!!
__________________ dont judge a tree by its leaves,judge by its fruits!!