Jukwaa la Elimu (Education Forum)Educational discussions in here... If you have some College/School materials and you wanna give them to your fellows pls do that favour to them. Let them get educated here! Become a Member to enjoy more stuffs
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
hahahaaaa manyanga umenikumbusha mbali, jamaa alikuwa anajidai haendi DH yeye na gembe lake kumbe kwa hela za pasi, viatu na suruali za wizi, kweli jamaa alijua kupenda...nakumbuka jinsi tulivyosimamishwa paredi mhalifu atafutwe, ashukuru bila polisi nadhani tungemla nyama mwizi mkubwa....

Bibi kizee na wewe ulikuwa ni mhanga wa huo wizi wa pasi, kwani na wewe ulikuwa ni mmoja wa GEMBES
__________________ Be not afraid of growing slowly, be afraid only of standing still. -- Chinese Proverb
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
ni kweli nilikuwa gembe kipindi hicho ila sisi ndio wale ambao ni kama kawaida never miss DH, umejitahid saaaana makanyagio...au kuwahisha kibakuli kwa wa-mama once per month!!! ,
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
Jamani mkwawa we acha tu umenikumbusha enzi za machua na wajane. Mi nilihamia pale form five term ya pili mwaka 2001.Si nikapangwa shebi common room. Nikawa na form six kibao akina skavenja bwana eee nilipiga sana deki ile common room. Ticha letu la bweni linaitwa Ngimba lilikuwa noko vibaya ile morning likikustua linakutoa benzi mpaka makanyagio ila ukiingia kwa chuwa linamwogopa si alikuwa baunsa.Kuna choo pale shebi kilikuwa open roof yaani " shimo la maji machafu bila mfuniko" basi mida ya kuanzia saa moja unakuta msela kachuchumaa pale kumbe anakata gogo.
Yani mambo ya mkwawa bwana toilet pepa zilikuwa adimu mtu akitaka kwenda toi unakuta kachukua karatasi analifikicha kama analifua hivi likilainika linakuwa tp. Kuna jamaa alikuwa anaitwa aka scavenger 2002 alikuwa havai chupi hata siku moja. Kuna jamaa a.k.a mbufye alikuwa haogi anaweza akakata hata mwezi na nusu hajaoga yeye
paspoti tu.
Unakumbuka zile rollcall za saa kumi na moja halafu mnapangiwa kupasua kuni masela, kuosha madish magembe.
Kuna jamaa alikuwa naitwa mujuni alikuwa analala juu ya dali, jioni anakula mapera siku ya kumtoa juu ya dari ilibidi mbao aje shebi west akamsihi ashuke maana jamaa alikuwa baunsa.
Neno nisilolisahau mkwawa ni moja tu. DH hahahahahaha mkwawa for real ilikuwa so much to me. Big up guys.
__________________
“Learning without thought is labor lost; thought without learning is perilous.”
Nafurahi sana kuwapata hapa watu wa Mkwawa. Kweli jamani mahali pale pamebadilika sana. Mnaikumbuka 'gallery'? pale zimejengwa ngazi nyingine tena, zinaonekana ukusimama pale 'bomba tatu'. mpo?
aise nina hamu sana ya kufika mkwawa mpya nikaone imekuwaje kwa sasa, inabidi nitafute muda kwakweli, hivi mabweni yamekuwa nini- au ndio hostel? majina yamebadilika au magembe na kongoro's kama kawaida!! vipi maji, ah nakumbuka kile kisima kuleee ukikatiza uwanja!!
ni kweli nilikuwa gembe kipindi hicho ila sisi ndio wale ambao ni kama kawaida never miss DH, umejitahid saaaana makanyagio...au kuwahisha kibakuli kwa wa-mama once per month!!! ,
Na wewe ulikuwa Table Leader kama mimi? kwa sababu ma Table leader ilikuwa ni lazima utie timu DH. Siku moja moja Makanyagio kwa Newton au Chuwa!!!
__________________ Be not afraid of growing slowly, be afraid only of standing still. -- Chinese Proverb
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
ah! wana mkwawaa! kwa Baba Gadiel Tende, mnamkumbuka mkandarasii? je love square bado pana 2mika au ndo mambo ya chuo changes! mzee wa povu mmemsahau! makanyagio usiku kucheki pilau do u rem! Ditrik wa kiepe yupoo! ah! NEWTON HATUNAYE(R.I.P) Boda la kwenda lugalo ktk mlima Mnalikumbuka. Ebwanae Ruaha int. cku hizi ni lodge no disko. Je mnaremba BRAZA PIMBI WA NIDHAMU... MGIMWAA! OYAA PAMOKO WANAA! Mungu ibariki mkwawaaa!
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
Mwana newton katutokaje? Nani kati yenu alishapanda zile 15 steps za staff room. Bond za mkwawa bwana zilikuwa za aina yake. Nyingine za kusoma tu nyingine za mapenzi.
__________________
“Learning without thought is labor lost; thought without learning is perilous.”
Re: Kwa wana Mkwawa High School-mnaikumbuka Gangilonga?
Watu wa language nafkir mnamrem Masatu mzee wa hasira za faru, Shaban ist hukoo! kihava wa history mzee wa shalo! geog mshamrem Mirambo almaarufu Fantamagorian! NELKON nackia kasepeshwa na SENSA ya Taifa dah! ndo lyf wanaa! pamojaa! gawa nyuuz!