| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 204
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Bwana filamu hii ni kijinga mno. Namba zake hazilingani na takwimu halisi. Mfano: Filamu inasema "25% of the population are Muslim in Belgium". Wikipedia: "It is estimated that between 3 to 4% of the Belgian population is
(98%
) (350 000 to 400 000 people)"; katika makala hii unapata pia chanzo cha takwimu kinyume cha filamu. Inaonekana filamu imetengenezwa na watu kutoka Marekani wasio na habari. Sijui kama wanataka kutisha watu au nini lakini namba si sawa. Pia wanatumia uwongo wa moja kwa moja.
Nakaa Ujerumani najua majadiliano juu ya uhamiaji na watu kuja hapa si kweli ya kwamba kuna utabiri wa serikali ya Ujerumani ya kwamba nchi inaelekea kuwa nchi ya Kiislamu. Hii si kosa ni uwongo mtupu-. Bwana kwa nini unatupa takataka ya aina hii hapa? Intaneti inajaa ndoto, masimulizi, uwongo na kila aina ya maajabu. Kabla ya kuweka kitu hapa naomba ujitahidi kuhakikisha ukweli wake. Hasa naomba tusiweke filamu hapa badala ya kujitahidi kuandika kitu chenye maana. Yaani watu wengi hasa wenzetu huko Afrika hawana intaneti ya haraka. Ukifikiri filamu inasaidia basi weka kiungo chake lakini menginevyo eleza unachotaka kusema kwa maneno yako mwenyewe - au nyamaza. |
|
#3
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
__________________
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me. |
|||||||||||||||
|
#4
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Maelezo yako hayana maana yeyote kwani hujaleta hoja mbadala wa yale tuliyoyaona katika hiyo clip. Kila mtu ana uhuru wa kuweka jambo lolote ili mradi tu haliendani kinyume na rules za JF.
__________________
'Tough times never last but tough people do' Dr. Robert Schuller |
|||||||||||||||
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hapa mwekaji anaweza kuongeza maelezo yake. Je alimaanisha nini? Ni kweli ya kwamba hata filamu baya inaweza kutufundisha kitu. Pia habari za uhamiaji wa Waislamu katika bara la Ulaya ni kichwa kinachofaa kabisa kujadiliwa. Ila tu filamu hii ni bovu kabisa haina maana na hapa mwekaji anatakiwa kueleza anachomaanisha. Nimetoa pia hoja ya kwamba sipendezwi na filamu pekee kwa sababu watu wengi hasa Afrika hawawezi kuangalia filamu kutokana na hali duni ya mawasiliano. |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
pili huyu bwana aliyetoa mada anaonekana ni mfuata dini mzuri (nimemuona mara nyingi kule kwenye forum ya dini, mwingine ninayemjua ni maxshimba), si vizuri kutaja au kusema uwongo (refer hapo juu kwenye red highlight). asante
__________________
As iron sharpens iron, so one man sharpens another |
|
#7
|
||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||
|
Imewagusa wengi basi...!
__________________
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:35 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||