nimebadilisha window nimeweka win xp. But keypad haziendani kama zlvyopangwa. Exp. @ ipo kwenye namba 2 but ukibonyeza inakuja ; msaada tafadhali.
nimebadilisha window nimeweka win xp. But keypad haziendani kama zlvyopangwa. Exp. @ ipo kwenye namba 2 but ukibonyeza inakuja ; msaada tafadhali.
mkuu nashauri ungeend kupost hii thread jukwaa la tech,gadget and science kwa msaada zaid
ni kwel...hapo umekosea barabara!!
thanx wakuu ntafanya hvyo.
Jaribu kushika Alt na Ctrl then namba 2....
''First impression last longer....''
kama ukibonyeza @ inakuja ;.. then bonyeza iyo ; itakuja @, iyo ni settings tu unaweza kuweka default settings ikawa kama kawaida.. google kupata hadi screen shots
imekaka uk keybord badala ya us
nunua nyingne kama haziendani.
Hebu wapelekee watu wa technology
sory n thanx. tayari nimeshafanikiwa.
Follow Us Here