| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 573
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
excuse me?
__________________
Nakuona ulivo na wahka na shauku ya kugombana na keyboard, lakini swali ni .. Je una jipya?? |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hii ndiyo Habari/Hoja mchanganyiko?
Ungeipeleka kule kwenye Jukwaa la Elimu. Je, una uhakika kwamba Tabora School ni kichwa cha Tanzania? Je, mtu akisema Tabora School ni kiota cha mafisadi, utakubaliana nae? |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
heheee, kumbe walau kuna kitu kimoja cha kujivunia Tabora? Pale kasoma hadi Nyerere. Kichuguu yupo hapa ndani atakuja sasa hivi kutetea shule yake. Mie nilikuwa naipitia mali hasa baada ya kusikia ni shule ya kijeshi.
Lipumba naye si alikuwa hapo nasikia? Mjomba wangu mwalimu Matata alisota hapo kabla hajastaafu. Kweli Tb boys na Girls ni majirani sana sana ila sijui mlikuwa mnagawana vipi totoz za Tabora girls na Mirambo? Maana Kazima na Uyui walikuwa wao mchanganyiko.... Sasa wewe kwa nini uende kupanda treni wakati airport ilikuwa hapohapo karibu?? Ahhh, ngoja nende zangu Sokoni maana hapa Sikonge nikikosekana basi sokoni hapakaliki.....
__________________
.... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory) |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
You must also take into consideration that those old guys sent us to HELL na ndio maana nchi yetu ipo kwenye bottom three ya MOST FILTHY COUNTRY ON EARTH
__________________
Nakuona ulivo na wahka na shauku ya kugombana na keyboard, lakini swali ni .. Je una jipya?? |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Thread inafurahisha, ila kichwa cha habari kimekaa kama habari ya mwaka 1958!
__________________
"To whom much is given, much is expected" |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kuna wengi sana wamesoma boys.
Ukitaka ujue boys ni noma nenda pale udsm uone walivyo wasongo kwenye kupiga msuli wameshazoea msuli maiti. Form one huwa hawaruhusiwi kulala mpaka saa saba usiku lazima wapelekwe dining wakapigishwe msuli na kaka zao wa form two na three. Sijui siku hizi hama vitu hivyo vipo hapo boys |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
aah mwalimu madafu alikuwa anachapa sana viboko kudadeki.........hadi mitako imeota sugu,bt anyway iz cool,yule mzee maduka na mke wake pale wakitulangua sana maji ya kunywa,glass sh 10 kama sikosei,vp mnakumbuka pale nyuma ya mzee maduka??kulikuwa na duka lingine tullikuwa tunaenda kula mtindi baada ya kupiga makande yaliyopikwa kwa mawese??kulikuwa na dem mmoja pale akiuza mtindi,madent kibao wakimfukuzia yule binti,vp zile trip za kipalapala kucheza mpira.mwl masele naeeee,akikukuta town hujavaa uniform utakiona siku ya paredi..dahh shida tupu tabora boyz,pale student centre yule mzungu padre bado yupo,nimemsahau jina???? he iz the best pastor of all timez,kuna mllinzi mmoja pale akituuzia viazi vitamu vya kupika ikiingia usiku saa 1 baada ya dinner mnakumbuka,unakumbuka pale chini ya mwemmbe karibu na messi ya chakula?madem wa wosso kibao wakati boyz mnakula lunch,mkimaliza mnakaa chini ya mwembe hadi saa 12 jioni,vile vyoo vipi wazee??ukiingia lazima uache nguo nje...manake hiyo harufu,,,mi sisemi........tabora ...good tread
|
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
GUESSWORK IS WORSE THAN USELESS |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Kama kuna kitu siwezi kusahau ni ile siku tuliyovamiwa na milambo,kusema kweli siku ile ningeweza kupoteza maisha.Thanks god sikupa hata jeraha.Nasikia Mrisho kapelekwa wizarani,Nkumba,Masele wameukwaa uhead master katika shule zingine.Pamoja na kwamba ile ni special school,lakini ina upungufu mkubwa sana wa walimu ingawa vijana wanajitahidi sana kuibeba.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 09:07 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||