Wadau naomba mtu yeyeto anaeweza kuyaweka hapa jamii forum majina ya watu waliochaguliwa kujiunga na st johns university of Tanzania kwa mwaka huu 2012/2013 ayaweka hapa jamvini.Selection imetoka sasa hivi ila computer yangu inanigomea kudownload majina kwasababu ya kitu kinachoitwa downloan manager .
Website ya chuo ni St.John's University of Tanzania.
Seletion ndio imetoka muda huu ila nashindwa kudownload.

Reply With Quote


Follow Us Here