Ndugu naomba ushauri wenu kidogo, kati ya hizo course mbili ipi ina soko kubwa la ajira kwa sasa?
Ndugu naomba ushauri wenu kidogo, kati ya hizo course mbili ipi ina soko kubwa la ajira kwa sasa?
kwa upeo wangu bora accounting ila tungoje wadau wengine
Suala la ajira siku hizi ni kujuana tu. Hakuna course itakayo kuwa na ajira kama huna mtu wa kukushika mkono.
Nkyalo Mkonza (Fisi ni ngozi tu ndani nyama)
Graduates wa accounts wako ka 15000 wana hang kitaa man..!
acc ina wigo mkubwa sana kama kuna kuna watu 15000 wanahang bac jua kuna mara 3 ya iyo idad kwa i.t
Ushauri kw wote.
Unapotak kusoma corse jaribu kuangalia Matokeo ya iyo corse Miaka mitatu kutoka sasa mtakuwa Wangapi Sokoni.ACCOUNTING imekuwa ndo corse ya kukimbilia.takriban kila chuo ki a degree ya Account sasa.pia jaribu Kuangalia Corse inayoweza kukupa Uwezo wa kujiajiri na si kuajiliwa tu.
Mi kwa mtazamo wangu Sikushauri Uchukue Accounting ndugu yangu.
Kijana inategemea na mtizamo wapo mbeleni mm binafsi ninaona kwa mtu ambaye unategemea kujiajiri mwenyewe mapema tu hata ukiwa bado uko shule soma IT,ukiwa competent kazi za IT kibao mtaani za kujiajiri na unapiga pesa km kawa lkn kwa uhasibu sina ujuzi sana ninajua wengi ni kuhesabu pesa za watu kujiajiri kwa hy fani hadi uwe certified na inahitaji ubavu,hp wengine watakujuza kwenye hili!...
am in IT industry ila sishauri kabisa mtu aje kipande hii, piga zako accounting huko utaweza kujiendeleza na sehemu nyingine zilizopo kipande hiyo kama Marketing, Finance, Business Administration n.k.
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
wakuu mi navyoona i.t iko limited sana tofaut na acc ambayo ina option nying tofaut na ajira
Wakuu,
asanteni sana mpaka sasa kuna vi2 nimevipata kutoka kwenu,
upande wa it inakupa wigo mpana wa kujiajiri mwenyewe hata kama ajira ni tity,
accounting inawezakukupa option kadhaa zinazohusu kazi za biashara lk banking,finance, marketing etc,
nimewasoma vizuri ndugu
Follow Us Here