Deadline ya HESLB imeshapita ( 25/08).TCU ya kwao 29/08 je hawa watapata mkopo au HESLB itasogeza?
Deadline ya HESLB imeshapita ( 25/08).TCU ya kwao 29/08 je hawa watapata mkopo au HESLB itasogeza?
Mikopo safari hio itakuwa issue, tungoje tujionee muda si mrefu.
Soma vizuri hyo new ya HESLB cio unakuwa unatisha wa2 kwamba watapata au la. HESLB wametoa wiki 2 kuanzia tarehe 15/08/2012 it means the deadline will on 29/08/2012 as the deadline of Application 2nd round ya TCU.
mimi huko nshaaga!!!!
Mkuu!!! Ulisoma nin Advance na hata Hesabu ya primary inakushinda? Mbona wenzako 2najua kwamba deadline ya HESLB ni tarehe 29/08/2012, na kama wewe pia ni 2nd round ya TCU uciwe na wac MKOPO UTAPATA 2 Mkuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!! ***Good things always came later, so be patient 2 dis***
Hapa mimi sielewi kabisa! 2nd around wakati Results ya walioomba kwanza majina yao hayajatoka?
mtajuuuta mwaka huu
Follow Us Here