Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 39 of 39
    1. #1
      Shakir's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2012
      Posts : 269
      Rep Power : 400
      Likes Received
      46
      Likes Given
      19

      Default Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      Wadau,

      Wakati nipo nasoma Graduate, mapedeshee walitinga sana pale IFM kubeba vimwana!!
      Mademu tunagonga nao discussion mchana na Jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, Benzi, Cruisers, n.k. zikiwa zimepaki nje.

      Ilikua ikiniuma sana kwa kweli, mpaka nikawa nawachukia mademu class, hasa wale waliokua wakivuka geti enzi hizo.
      Yaani wanatuacha sisi makapuku tunao-survive wote kusolve papers na test, wankwenda kuwapa mapedeshee wa mtaani, kisa wanawa-finance!!??

      After seven years, nami ni mojawapo ya hao mapedeshee, nina hela za kunitosha pamoja na kuhonga na life ikaenda tu!! Labda tofauti yangu na hao mapedeshee waliokua wakituchukulia ni kua wao walikua wazee kidogo, waheshmiwa Fulani hivi maofisini wakati mimi bado kijana.

      Kwakua ile image ya kuchukuliwa bado ipo, na uwezo wa kulipiza sasa upo, akili inanituma nianze kuzungukia vyuoni kusaka mabinti. Tena navyoona posts za selection zinavyojaa, najiambia sooner time will arrive for revenge!!

      My time is now, nilivumilia sana kipindi kile kapuku nategemea boom. Nieleweke kua mi sio kicheche, wala sitegemei kupita kila chuo na kila Siku, wala sintolazimisha mtu, bali ile hali ya kuji-feel guilty nisipolipa kisasi!!!
      maishapopote likes this.

    2. #21
      kadoda11's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : planet earth
      Posts : 1,457
      Rep Power : 720
      Likes Received
      362
      Likes Given
      183

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      thread za majigambo ya namana hii ni bora uzianzishie status kule FB.eti una pesa za kutosha.....je mimi na rafiki yangu riz1 tujiweke kwenye kundi gani..aaah jiangalie weweeee.
      "The only true wisdom is in knowing you know nothing"

    3. #22
      king roja's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th May 2012
      Posts : 143
      Rep Power : 387
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      Dah hoja yako ya kulipa kisasi inatoa tafsiri kubwa kiupande wangu. Ina maana wakati unajiunga hapo chuo lengo la mwanzo lilikuwa ni kupata warembo na la pili ndo kusoma. Me nilizani utalipiza kisasi labda aliwahi tokea kati ya hao mapedeshee kukuchania vifaa vyako vya masomo kumbe unalipiza kisasi kwa kuchukuliwa warembo ambao hukuwa na uhusiano nao. Umegraduate lakini ujinga unatawala kichwa chako
      LORDVILLE likes this.

    4. #23
      Zeddicus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2012
      Posts : 316
      Rep Power : 422
      Likes Received
      71
      Likes Given
      25

      Default

      Quote By shakir View Post
      wadau,

      wakati nipo nasoma graduate, mapedeshee walitinga sana pale ifm kubeba vimwana!!
      Mademu tunagonga nao discussion mchana na jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, benzi, cruisers, n.k. Zikiwa zimepaki nje.

      Ilikua ikiniuma sana kwa kweli, mpaka nikawa nawachukia mademu class, hasa wale waliokua wakivuka geti enzi hizo.
      Yaani wanatuacha sisi makapuku tunao-survive wote kusolve papers na test, wankwenda kuwapa mapedeshee wa mtaani, kisa wanawa-finance!!??

      After seven years, nami ni mojawapo ya hao mapedeshee, nina hela za kunitosha pamoja na kuhonga na life ikaenda tu!! Labda tofauti yangu na hao mapedeshee waliokua wakituchukulia ni kua wao walikua wazee kidogo, waheshmiwa fulani hivi maofisini wakati mimi bado kijana.

      Kwakua ile image ya kuchukuliwa bado ipo, na uwezo wa kulipiza sasa upo, akili inanituma nianze kuzungukia vyuoni kusaka mabinti. Tena navyoona posts za selection zinavyojaa, najiambia sooner time will arrive for revenge!!

      My time is now, nilivumilia sana kipindi kile kapuku nategemea boom. Nieleweke kua mi sio kicheche, wala sitegemei kupita kila chuo na kila siku, wala sintolazimisha mtu, bali ile hali ya kuji-feel guilty nisipolipa kisasi!!!
      mkuu njoo ufanyiwe maombi

    5. #24
      Shakir's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2012
      Posts : 269
      Rep Power : 400
      Likes Received
      46
      Likes Given
      19

      Default

      Wadau mnaoniponda jaribuni kuvaa viatu vyangu ndio mtagundua namaanisha nini!!

      Yaani demu unasoma nae lakini hana hata presha ya kupata kazi maana anajua akimaliza kibuzi chake kitampigia pande.

      Sometimes tunapiga ndefu boom limekata, wao wako njema tu.
      Maana kuna Mzazi, Mimi, Pedeshee e.t.c na wote tuna-provide.

      Acha na mimi nianze kuwakosesha raha classmates zao kama mi nlivyokosa those days!!!
      Last edited by Shakir; 27th August 2012 at 20:04.

    6. #25
      Shakir's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2012
      Posts : 269
      Rep Power : 400
      Likes Received
      46
      Likes Given
      19

      Default

      Quote By Sir. Burn View Post
      Mi niko nawe mkuu Shakir
      Imagine mnapanga disscusion na dem mida ya usiku halaf hatokei.
      Mida unatoka kula labda unapishana nae getini "anatoka", inazingua sana for sure!!
      Ahsante sana kaka,
      Hata shetani nae ana wafuasi, ingawa ni mbaya!!

      But those days, we acha tu.
      Yaani class heshima hakuna kisa wanatoka na mababa umri wa baba zetu!!

      Those days, hata kutokea demu mkali naogopa maana mshiko wenyewe nategemea boom!!

      Those days, nang'ang'ania kufundisha ili anipende, kumbe ye anapenda hela. Nilifikiri uwezo wangu wa kushuka namba na kubalansisha makabati ungeniletea warembo, kumbe walikuja kuchota materials tu!!

      Those days, nkikumbuka nakosa raha sana!!

    7. #26
      Mahesabu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2008
      Location : manzese
      Posts : 3,053
      Rep Power : 1326
      Likes Received
      222
      Likes Given
      761

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      JF the home of great chadema thinkers....! i like jf
      BILA RUSHWA..HAKI HAIPATIKANI....TOA RUSHWA UPATE HAKI.....(?)
      RUSHWA NA TANZANIA DAM-DAM.....!
      TAASISI IPI RUSHWA KWAO MWIKO?
      NASEMA KWA KUWA YAMENIKUTA......!

    8. #27
      makundi4619's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th July 2012
      Posts : 485
      Rep Power : 447
      Likes Received
      135
      Likes Given
      388

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      How will such attitude enhance your self improvement. You are heading for trouble fellow by wasting precious time on useless thoughts instead of thinking on how better you can positively improve yourself, family, community and the nation. Anyway it is your choice and mark you there is a saying that goes like this, "You can do any thing in this world but be prepared to face the consequences" Kazi kwako endelea kupoteza muda kwenye upuuzi.

    9. #28
      Liwalo na Liwe's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th July 2012
      Posts : 11
      Rep Power : 352
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      wewe unatakiwa uangalie kwanza hao waliokuja na hayo magari leo wakowapi, then jiulize kama uko tayari pia kuwafuata maana njia yako inajinyesha, wewe unaelekea kaburini walahi, me ntakuchangia angalau pempas ukianza kuharisha.....R.I.P shakir

    10. GP is offline
      GP
      #29
      GP's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2009
      Location : every where
      Posts : 1,951
      Rep Power : 923
      Likes Received
      76
      Likes Given
      96

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      Quote By paul kitereja View Post
      wewe ni mjinga mwenye mawazo ya kipumbavu!!!
      ,,,,,,, na fikra za kipuuzi zilizojaa imani za kifedhuli
      paul kitereja likes this.

    11. #30
      Infopaedia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2011
      Posts : 291
      Rep Power : 444
      Likes Received
      76
      Likes Given
      15

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      Jamani watanzania lazima tuwe waelewa. Shakir ameathirika kisaikolojia. Kumbeza na kumkebehi haitamsaidia. Huyu anahitaji mshauri nasaha aliyebobea. Alikuwa anaamini umahiri wake wa darasani ungefanya warembo wajigonge kwake. Lakini haikuwa hivyo, roho ikamuuma. Na hivi sasa anaamini pesa zake na gari vitafanya warembo wajigonge kwake. Kuna kila dalili kwamba pamoja na pesa zako na accesories zote.hizo, bado warembo hawatokubabaikia. Shakir nakuuliza, mrembo unayemfuatilia pamoja na gari yako na pesa zako, anakutosa na kwenda kujigonga kwa sharobaro anayeimba Bongo fleva. Utachukua hatua gani? Naomba mshauri nasaha aje kumsaidia huyu jamaa ye2.

    12. #31
      Ndebile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2011
      Posts : 1,275
      Rep Power : 683
      Likes Received
      261
      Likes Given
      70

      Default

      Quote By Infopaedia View Post
      Jamani watanzania lazima tuwe waelewa. Shakir ameathirika kisaikolojia. Kumbeza na kumkebehi haitamsaidia. Huyu anahitaji mshauri nasaha aliyebobea. Alikuwa anaamini umahiri wake wa darasani ungefanya warembo wajigonge kwake. Lakini haikuwa hivyo, roho ikamuuma. Na hivi sasa anaamini pesa zake na gari vitafanya warembo wajigonge kwake. Kuna kila dalili kwamba pamoja na pesa zako na accesories zote.hizo, bado warembo hawatokubabaikia. Shakir nakuuliza, mrembo unayemfuatilia pamoja na gari yako na pesa zako, anakutosa na kwenda kujigonga kwa sharobaro anayeimba Bongo fleva. Utachukua hatua gani? Naomba mshauri nasaha aje kumsaidia huyu jamaa ye2.
      Natumia simu vinginevyo ningekugongea like!
      Mleta mada ni mgonjwa kisaikolojia (ana majeraha ya kunyanyapaliwa) Tupo watu wengi wenye shida hii,

    13. #32
      Epicauta elbovitata's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th March 2012
      Posts : 113
      Rep Power : 388
      Likes Received
      9
      Likes Given
      2

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      Quote By Shakir View Post
      Wadau,

      Wakati nipo nasoma Graduate, mapedeshee walitinga sana pale IFM kubeba vimwana!!
      Mademu tunagonga nao discussion mchana na Jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, Benzi, Cruisers, n.k. zikiwa zimepaki nje.

      Ilikua ikiniuma sana kwa kweli, mpaka nikawa nawachukia mademu class, hasa wale waliokua wakivuka geti enzi hizo.
      Yaani wanatuacha sisi makapuku tunao-survive wote kusolve papers na test, wankwenda kuwapa mapedeshee wa mtaani, kisa wanawa-finance!!??

      After seven years, nami ni mojawapo ya hao mapedeshee, nina hela za kunitosha pamoja na kuhonga na life ikaenda tu!! Labda tofauti yangu na hao mapedeshee waliokua wakituchukulia ni kua wao walikua wazee kidogo, waheshmiwa Fulani hivi maofisini wakati mimi bado kijana.

      Kwakua ile image ya kuchukuliwa bado ipo, na uwezo wa kulipiza sasa upo, akili inanituma nianze kuzungukia vyuoni kusaka mabinti. Tena navyoona posts za selection zinavyojaa, najiambia sooner time will arrive for revenge!!

      My time is now, nilivumilia sana kipindi kile kapuku nategemea boom. Nieleweke kua mi sio kicheche, wala sitegemei kupita kila chuo na kila Siku, wala sintolazimisha mtu, bali ile hali ya kuji-feel guilty nisipolipa kisasi!!!
      ahaaahaaa...Imeandikwa jambo ambalo hupend kufanyiwa na wewe usimfanyie mwenzako

    14. #33
      QUALIFIED's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th June 2012
      Posts : 515
      Rep Power : 457
      Likes Received
      28
      Likes Given
      12

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      tatizo watanzania tunalizika mapema yaan akaunt ikisoma 2 kidogo na unagar umemaliza kabisa ukumbuki your goals before that duh!
      GO 4 IT BRA! ila usisahau feedback kurejesha afu kumbe unaish kama m2 fulan anavoish instead of living your life
      HII NDO BONGOLAND

    15. #34
      Mgombezi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2009
      Posts : 628
      Rep Power : 647
      Likes Received
      133
      Likes Given
      139

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      Richard Branson (Virgin Group) ana makampuni zaidi ya 400 na bado anaendeleza fikra za kupanua biashara zake, sijawahi kuona akiandika upumbavu kama huu katika status zake; kweli wai-TZ tunaridhika mapema sana, yaani hiyo kazi ya kutumwa na huo ufisadi unaofanya ndio unakusukuma kuwa na fikira hizi. Tunahitaji ukombozi wa fikira kwanza.....!!
      Ebenezer

    16. #35
      QUALIFIED's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th June 2012
      Posts : 515
      Rep Power : 457
      Likes Received
      28
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By Mgombezi View Post
      Richard Branson (Virgin Group) ana makampuni zaidi ya 400 na bado anaendeleza fikra za kupanua biashara zake, sijawahi kuona akiandika upumbavu kama huu katika status zake; kweli wai-TZ tunaridhika mapema sana, yaani hiyo kazi ya kutumwa na huo ufisadi unaofanya ndio unakusukuma kuwa na fikira hizi. Tunahitaji ukombozi wa fikira kwanza.....!!
      jamaa haon ile napia ajui atazeeka fasta mtu anakazi ya kusulutishwa asubuh mpaka jion badala ukitoka apo upumzishe akil bado unawaza vitu vinavyochosha akil tn unafikir atapata wapi mda wa kufikilia kua self relianc

    17. #36
      nipeukweli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th July 2012
      Posts : 318
      Rep Power : 412
      Likes Received
      117
      Likes Given
      80

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      duh aisee pole kijana. as I got to read between the lines I realized u were terribly destroyed inside. wakati hayo yanatokea hukupata namna yoyote ya kuyatoa maumivu yako and that is y u r now thinking of revenge. hii ni hali ya kawaida kutokea kwa mtu aliyeathirika kisaikolojia kama alivyostate Infopaedia.

      I believe u understand very well the meaning of "Karma"...what goes around,comes around, what goes up, comes down"...on that note, I can only tell u one thing, perfect Karma comes naturally, so dnt waste ur time n energy cooking it up, hata vitabu vya dini haviruhusu...ishi maisha yako kwa raha bila kuumiza watu kwa makusudi...hukupenda yaliyofanywa na wale jamaa sasa kwanini na wewe uwe kama wao? achana na hizo habari...life is very sweet dnt abuse ur youth kwa style hiyo bana...ni ushauri tu!
      to be a professional liar one needs a great deal of memory,since u don't have that just take the easy way out......TELL THE TRUTH

    18. #37
      MMDAU's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th August 2012
      Posts : 83
      Rep Power : 361
      Likes Received
      14
      Likes Given
      1

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      kwahiyo mskikaji unajisifia na kujiona mjanjaa eeee
      utaliwa tu hela zako kwani kuna baadhi wamo humu jamii forum wakiona hii watakutafuta kwa lengo la kukufunga kamba (kukuchuna) kwani ww si lingombe lao usishangae ukapata private message kutoka humu humu na kujisahau ukaona kuwa unapendwa
      mwisho wa siku urudi tena hapa kutuomba ushauri mm sikusaidii kwani mwandiko wako naujua hatakama utabadilisha jina umesikia

    19. #38
      EJay's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 165
      Rep Power : 390
      Likes Received
      36
      Likes Given
      18

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      limbukeni toka kijijini wewe shakir,ukifukuzwa kazi kesho?hizo tambo zitakufikisha wapi,wanawake sio ishu tena,yaani unatamba na kamshahara wa bongo wenzio wajasiriamali hiyo ni hela ya siku na kwenye jamii wanaelewana vizuri na watu.Acha tambo kaka badilika!

    20. #39
      QUALIFIED's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th June 2012
      Posts : 515
      Rep Power : 457
      Likes Received
      28
      Likes Given
      12

      Default Re: Those Days, Walituchukulia sana - Kisasi time!!!!

      wakuu naamin kashajifunza jins bongo tunavoish msamehen kwakwel mh!

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...