hivi wakuu kwa uzoefu wenu mm nilijaza katika ile form kwamba nmesoma o level & alevel private both ma parent still alive na nmechaguliwa hapa mist civil engeeniring ,,,,,,sasa naweza nikalamba huu mkopo kwel na kama parcent ngap hivi!!

utapata considering program unayoenda kusoma..
unapata vizuri tena hata 100% dogo
Alipata Wife wa Ritz 1 asimilia mia iatakuwa wewe?
haahahaahahhahahha 100% wasi ondoa!!! japo hatuna hakika maana hali ya ufisad hapa bongoland ni mbaya kushinda neno mbaya lilivyo...lets wait and see...
jamani na mi nauliza kama je umeomba chuo kwa kutumia diploma ya computer scienc na ukapata degree ya computer engineering na wakati unasoma diploma umejilipia na ada ilikua bei mkasi je utapata mkopo?
sasa hebu nikadirien naweza lamba kama ngapi hivi@wote
unaweza ukapata au unaweza ukakosa..niamini mimi so wewe jiandae kwa vyovyote!!!
Haitabiriki jomba hebu tusubr,coz hii ni kama mimba hatujui kilicho ndan,tm wl tell
Follow Us Here