Wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa UDOM tukutane pale uwanja wa JAMHURI dodoma ili tusajiliwe!! mwambie na mwenzako..
Wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa UDOM tukutane pale uwanja wa JAMHURI dodoma ili tusajiliwe!! mwambie na mwenzako..
Tulioko mbali itakuaje? Na hiyo taarifa umeipata wapi? Mbona web ya chuo haisemi hivyo?
haya sasa na wale wa udsm mkutane ubungo mataa msajiliwe
Tehe tehe tehe! Hebu waungwana acheni kupoteza muda kujaza coments kwenye hii thread ya huyu mpuuzi, hana lolote huyu. Usajili wa wanafunzi uwe uwanja wa jamhuri umekuwa usahili wa bongo star search huo!?
heeeee!!! Ipycalypse umepata huko nini!!??
Trying to forget someone you loved
is like trying to remember someone you never knew!
inawezekana coz hata cc 2yr mwaka jana tulifanya huo usajili hapo uwanja wa jamuhuri, xo inawezekana utaratibu ukawa hivyo na mwaka huu guyz
teh teh teh teh!!! me wala sisomi udom..na wala sikipendi UDOM...ila nimepata habari kutoka kwenye reliable sources kwamba kutokana na wingi wa wanafunzi wanaochaguliwa udom lazima usajili ufanyike uwanja wa jamuhuri kwa takribani siku zisizopungua 8!!
wewe inaonekana ni mtu ambaye uwezo wako wa kufikiria na kuchambua mambo ni mdogo sanah..! mimi siwezi kuandika kitu ambacho siko familiar nacho na wala sina data..hizo information ni kutoka kwenye reliable sources!!! Ukiwa una-comment kwenye thread yoyote humu ndani jaribu kufikiria kwanza usikurupuke!
Teh teh teh teh teh teh teh teh.......................
Na wale wa irhnga wakutane UNIVERSITY CORNER wasajiliwe.
wewe nawe mbona haujaeleweka unachokiongelea hapo!
nuie mbona co waelewa, hebu muulize mtu yeyote unayemfamamu wa 2year wa UDOM muulize mwaka jana yeye amesajiliwa wap?
wote tulisajiliwa uwanja wa jamuhuri, labda mwaka huu utaratibu ubadilike, ila ts true USAJILI NI JAMUHURI
Taarifa za kuaminika zinasema utaratibu wa usajili utakua kama last year, so wale wa mwaka jana mtupe mtiririko
Follow Us Here