Wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa UDOM tukutane pale uwanja wa JAMHURI dodoma ili tusajiliwe!! mwambie na mwenzako..
Wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza mliochaguliwa UDOM tukutane pale uwanja wa JAMHURI dodoma ili tusajiliwe!! mwambie na mwenzako..
kama ndo hivyo basi kitu JAMUHURI, cc ndo mwaka wa jana tulisajiliwa, na mtapanga mistari humo ndani uwanjani kutokana na school na college zenu , xo mpango mzima unakua hivyo.
hahahahahahahaha hii ndo jf bwana.......
kama ndo hivyo basi kitu JAMUHURI, cc ndo mwaka wa jana tulisajiliwa, na mtapanga mistari humo ndani uwanjani kutokana na school na college zenu , xo mpango mzima unakua hivyo.
Pia nnatangazo 1, kwawale watokao LUSHOTO tupange cku ya kuondoka
niliwaambia lakini hawakuniamini...! Kuweni makini wanafunzi wa udom..watu tunaongea na data !
Ila nasikia ishu ikipigiwa hapo inakua haina usumbufu ila cha muhimu kuwahi.
Mbaya zaid ifike hyo siku unakuta gest zimejaa zimebak lodge tu! Af mwenyewe mgen unapanga folen na mabegi yako meng ajabu! Cha msing kama ni kweli wahi kabla ya hizo za usajil laa sivyo shda tupu!
achana nae huyu mwendawazimu asiye elewa!! hawa ndo wale wakiwa kwenye chumba cha mtihani wanafuta majibu sahihi kwasababu tu ya kugelezea kwa mwenzie!!
Subir afike kule kumejaa na ni ucku ashindwe kujua hata jua linazamia upande gan., hapo ndipo atakapo isoma number..!.!
jamani huo usajili ni lini,na kwa wa mikoani utaratibu umandaliwa vipi?
We unaesema wenzako wanapoteza muda je we haujapoteza muda wako kuwaambia hivo?
waliosoma ART afu wavuta BHANGI utawajua tu
Follow Us Here