jamani najina Ya Second Round Robo tatu nzima wamemwagwa IFM na Hawakuichagua wengi wao....
Hii inaashiria IFM ina Mapungufu kidoogo.
na wengi waliotupiwa wana tokeo la Kuyumba yumba kana Langu..ila Ni Ntazamo Tu..anaejua Ukweli afunguke!!!
jamani najina Ya Second Round Robo tatu nzima wamemwagwa IFM na Hawakuichagua wengi wao....
Hii inaashiria IFM ina Mapungufu kidoogo.
na wengi waliotupiwa wana tokeo la Kuyumba yumba kana Langu..ila Ni Ntazamo Tu..anaejua Ukweli afunguke!!!
Wewe nenda kasome. Wewe ulitaka chuo gani?
wengi wametupwa computer science hapo ifm na hiyo unatka kusema sio course...?
Sio chuo ni taasisi kama shule flani
Ofkoz sio chuo,bali ni taasisi,vyuo ni kama,sua,ud,mzumbe,udom na saut-main cumpus.
IFM is a high learning institute focusing on developing proffessionals. Sio chuo Kikuu/University ambao focus in kudevelop aacademia na intellectuals. sasa hapo chambua intellectual na proffesional.
In order for dreams and desires to inspire you to action and achievement, they need to be big.
Kuna suala la tuition fee pia na priority ya kupata mkopo!
"Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau
Angalia wafanyakazi wenye ufanisi zaidi wawapo kazini wamesoma chuo gani utaambiwa ifm. Mnyonge mnyongeni tu
Angalia wafanyakazi wenye ufanisi zaidi wawapo kazini wamesoma chuo gani utaambiwa ifm. Mnyonge mnyongeni tu
Ni kweli kabisa,lkn waliochaguliwa hapo wengi hawakuomba....
''First impression last longer....''
mmmmmmmmh!!!!
INSTITUTE OF FAILURES AND MANAGEMENT.(IFM)
Acha uongo wewe huna data!!!ifm wengi vilaza hata wenyewe mnajijua kama ni vilaza..! Kajipange tenah halafu uje na data...
hicho ni chuo kama vinginee ila yale ni matatizo ya tcu
kwani wewe umelijua leo kuwa ifm sio chuo, pale wana kamradi ka kukusanya hela sio kingine!
"DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"
hebu tupe data ulizonazo kuhusu ifm ndugu yangu kuwa ni vilaza, maana paul kitereja maana tunachokitafuta ni ufanisi kazini na tunawaona vijana wa udsm sua ,mzumbe etc walivyotofauto na hawa watu,sasa basi ninatambua fika wewe umetokea kijijini live ukaja ukasoma either udsm ndio wana dhima kama zako kuwa IFM,IAA,TIA ,DIT KUWA SABABU NI INSTITUTE basi ni vilaza na hii dhana imewaangusha sana nyinyi udsm sijui sua maana mmekuja mtaani MNACHAGUA KAZI WAJINGA WATUPU .Hata hapa ulipopostupumbavu wako waangalie ,founders wana basic za wapi,hivi vyuoIFM,IAA,TIA ,DIT vinatoa much practical than theory mhasibu anayetoka kwenye hivyi vyuo wewe wa udsm humkamati ukitaka kuniamini nenda pale TRA na kwenye many financial institution ukachunguze wanawataka/wanapendelea kutoka wapi?
mkuu Kibada please jibu hii hoja hapa toka kwenye jukwaa la siasa kila siku http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...-sio-chuo.html
jamaa kasema ukweli !! The best Tanzania univsty ni
1. UDSM
2. SUA
3. MZUMBE
4. UDOM
Wengne mtajipangia hzo namba zinazofuata huko nyuma !! Turudi kwenye mada yetu kwa kweli ifm ni moja wapo wa vyuo vya kata tena kwa vilazaaa kabisa nyie wanafunzi wa ifm mnajua kuvaa nguo chini ya makalio so mwisho wa siku ni bora hcho chuo kingekuwa cha fashion na usharobaro wa kipumbavu ila tukirudi katika suala zima la kitabu a.k.a Elimu pale ni empty set !!
Follow Us Here