jamani najina Ya Second Round Robo tatu nzima wamemwagwa IFM na Hawakuichagua wengi wao....
Hii inaashiria IFM ina Mapungufu kidoogo.
na wengi waliotupiwa wana tokeo la Kuyumba yumba kana Langu..ila Ni Ntazamo Tu..anaejua Ukweli afunguke!!!
jamani najina Ya Second Round Robo tatu nzima wamemwagwa IFM na Hawakuichagua wengi wao....
Hii inaashiria IFM ina Mapungufu kidoogo.
na wengi waliotupiwa wana tokeo la Kuyumba yumba kana Langu..ila Ni Ntazamo Tu..anaejua Ukweli afunguke!!!
Nyie pondeni tu ila Mtaani ndio kipimo cha akili,wacha mie nikasome IFM na ukilaza wangu,what i value is to develop my career.
Siku hizi nikitaka tu kujikumbusha enzi za cheichei natembelea jukwaa la elimu JF kwenye thread kama hii.
Kuna haja ya admin kuongeza jukwaa la JF-Cheichei kupunguza utoto kwenye majukwaa ya maana kama la elimu.
polen sana ifm!
jaman wale wanaokwenda sua,udsm,udom,mzumbe na kwengineko jipangeni msije mkapata supp afu ajira zikawa ngum msidharau chuo jitahidin mtoke mlipo inshaalah
Pigeni shule vijana kwani siasa imeingia mpaka vyuoni maana vyuo vimeanzishwa kisiasa hata hivyo unavyosema kuna baadhi ya course zimechakachuliwa hasa hizi ambazo zimeongezwaongezwa. Kuna baadhi ya fani alietoka UDSM yupo nondo na kuna baadhi ya fani unakuta MZUMBE kidedea na kuna baadhi ya fani unakuta alietoka CDTI Tengeru ni kidedea na kuna zingine unakuta wa alitoka USHIRIKA kidedea. Kikubwa ni kujitambua na kupiga buku kwani elimu ya juu ni mwanafunzi mwenyewe kujitambua na ku-network na wadau wengine wa elimu na ndio weledi wenyewe. Kwanza uchunguzi unaonyesha wanachuo vyuo vingi wanafundishwa na Tutorial assistants ambao wengine wamemaliza soon wakati maprof wanakula ela za kazi za nje kwa kuoishana kwenye ndege na mabasi kwenda Iringa na sehemu zingine kufundisha vyuo vingine hivyo kuna wengine japokuwa wana degree lakini ukifanya assessment inakuwa kama diploma flani japokuwa hata huku chini nako kumechakachuliwa. KWAHIYO MKIPATA FURSA PIGENI SHULE MAMBO MENGINE TUTAWAELEKEZA MKIFIKA URAIANI MAANA ELIMU YENU YA SASA NDIO HIVYO TENA IMECHAKACHULIWA HIVYO ILI UWE FIT INABIDI UONDOE KIBURI CHA KISOMI CHA MIE NIPO VIZURI ETC MAANA KUNA VYUO HAMJAVITAJA HAPO KAMA ARDHI UNIVERSITY INATOA PRODUCT NZURI KIASI KWAMBA DOGO AKIPIGA KAZI MWAKA TU ANAKUA NONDO.
Wana IFM kwaherini?
Follow Us Here