wakuu mambo vp,wale wa mzumbe jamani pita hapa..
wakuu mambo vp,wale wa mzumbe jamani pita hapa..
cheti na diploma wote wanakaa off-campus lakini sio wote wanakaaga nje ya chuo wengine hufanya mishe then wanakaa ndani!! but all in all wale direct from TCU lazima Wakae ndani..
poah haina nomah!
me pia nimechaguliwa mzumbe ni kiasi gan natakiwa kuwa nacho ili nisajiliwe kama mkopo nikikosa for the first semister
qms mnayosoma nyie sio sawa na school zingine..qmz yenu ni rahisi sanah na kama hutaki me ckulazimishi!!! huwez kuwa boss wangu kama uelewa wako wa kuchambua mambo ni mdogo!!
unaonekana kama mwanasiasa halafu unapenda siasa!! ngoja nikupe ushindi maana naona kama ume-panic hiv!!
Follow Us Here