Nyie watoto msisumbue hapa. Just be patient, TCU hawajatoa matokeo ya applications mlizozifanya. kama una pass nzuri why worry! Acha tabu ukumbini!
sa kilichokusumbua hapo nini kaka mi nimeulza tu na tcu yenyewe haiaminiki wa2 wanataka kujpanga mapema co unapewa matokeo leo then unaambiwa kesho nenda chuo kama umeona post yangu inakuzngua ungeipotezea tu.
Re: selection za mkwawa,makumira,duce na josiah kibira tusaidiane
By mkonya
sa kilichokusumbua hapo nini kaka mi nimeulza tu na tcu yenyewe haiaminiki wa2 wanataka kujpanga mapema co unapewa matokeo leo then unaambiwa kesho nenda chuo kama umeona post yangu inakuzngua ungeipotezea tu.
Mwanangu vipi umepata chuo. Si nilikwambi kuwa utulie mamlaka zinazohusika zitatoa rasmi. Sasa wametoa. Umepata?
Follow Us Here