Naombeni ufafanuz wa hii coz ya agri business xpecially kwenye maxuala ya ajira inakuaje?
Naombeni ufafanuz wa hii coz ya agri business xpecially kwenye maxuala ya ajira inakuaje?
Nenda kasome ukirudi tutakupa majibu..
Uandishi wako ndo balaa
ungeuliza kabla ya kuomba tcu now haitakluaidia
Kaka agribusiness mzuka xana,mm mwenyewe niliomba lkn kumbe kunawaliyoipenda zaid yangu (cut of points) lkn c mbaya niko Muccobs BAF.
Sidhan kama utaipata,nimeona ina competition kubwa sana!
Follow Us Here