Jamani hivi vyuo Selection zao Lini????
Jamani hivi vyuo Selection zao Lini????
Mwaka huu hawachukui wanafunzi.
Mwaka huu huu we subiri tu majibu yatatoka
daaa!hawa jamaa wanatupa headache mbayaa!
Vuteni subira,presha ya nini?
tokeo hadi 31th august wakuu
Wakitoa msianze kulialia hapa kesho kazi inaanza.
mazee minaumwa yan cjielew nalog udom inagoma kavp machizi wangu postin humu mtusaidie wenye vimeo tupo porini ifakara!
hi peaple......na mimi nasubir hizo hizo
Follow Us Here