Tcu imejipanga vipi juu ya matokeo ya vyuo vingine kama SUA, (color=red)MZUMBE(color) na ARDHI? Kwa mwenye idea yanaachiwa lini asisite kutujuza.

lini mpaka nimechookaaa
msiogope vyuo vingine huwa havikurupuki kuachia matokeo hovyohovyo so muwe na subira
Jamani,ARU,MU,SU,IR ni lini?duuuh
Follow Us Here