vp jamani majibu ya ifm,ruaha na institute of rural dvlpment yanatoka lini tujuzane
vp jamani majibu ya ifm,ruaha na institute of rural dvlpment yanatoka lini tujuzane
Unasoma vyuo vyote hivyo ama unataka udaku tu? Na unaulizia majibu ya nini?
No wonder graduates wa siku hizi mnakaa several years bila kupata ajira.
I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou
Naona kufikia 31/08/2012 hapatakuwepo swali lolote kuhusu TCU wala HESLB.WHY:Deadline zao wote ni 25/08/2012 ukiongeza hizo 5 mpaka 30/08/2012 nahisi zitatosha.
Follow Us Here