Hivi Huyu dogo anaependa mashindano kwenye mambo ya kijinga kijinga kachaguliwa wapi na kozi gani,maana simuoni tena humu?
Hivi Huyu dogo anaependa mashindano kwenye mambo ya kijinga kijinga kachaguliwa wapi na kozi gani,maana simuoni tena humu?
Dah, kweli ndugu yangu umeishiwa.
unajaza server bure na hujawahi kulipia. Why dont you PM him via SAMITI. Moderate yourself before being moderated. Damn
hovyo.mods futa upuuzi huu
Mods Wameunganisha ID yake mpigamsuli+SAMITI.
Hivi kuna mwenyesifa aliyekosa chuo mwaka huu kweli?Maana nasikia kuna hadi KATAVI UNIVERSITY mshindwe wenyewe tu vijana kusoma.
Mpigamsuli a.k.a SAMITI kachaguliwa MUCCOBS kozi flani hivi imenitoka
Zoom polytechnic college magomeni.
source: mi ni mwalimu pale.
ha ha ha,na wewe ningeR uko wapi mkuu?
kwani nyinyi mlivyotoka huko na elimu yote mpaka sasa mnaingia chuo, mlikuwa hamjagundua watu waliokuwa wakijiita majina kama hayo wakijifanya wasongo wa shule ndo wa kwanza kusanda kwenye matokeo! hahaha labda kapangiwa data star college. wale wa UDOM salimieni sana mlacha mwambieni aache ujinga wake, mpeni habari kuwa ninajiunga jwtz na ni lazima nimtafute nimtoe show nikitoka munduli. ELIA JOHN,CHAYA,YUSILIDA,KILONZO NK HAYA NI BAADHI YA MAJINA YA WALIMU WATATA KWA COURSE MBALIMBALI. be prepared, mimi nilishatoka huko tangia 2011. masomo meme wakuu
MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina
markj mkuu ndo tunatiririka huko ha ha hah lazima vikaumane
aaah! kama huyo elia ni balaaaa mbaya ila yy sio mnoko, anahitaji usome kwa kuelewa na uwe unaklemu balaaa,mana maswali yake bana acha tu! ila A na B+ zinapatikana ukikomaa naye, ila wengine hao huwa wanaingia uwanjani wakisema safari hii mwanafunzi apati A yani ni manoko hayo, aaaah! nimemsahau mmoja anaita ABEL afu mbaya zaidi kufundisha hajui, basi weeee patamu hapo. ila hakuna lisilowezekana chini ya jua kwa uwezo wake aliyetuumba mbona mtamaliza fresh tu, kutambua kilichokupeleka pale tu.Ipycalypse
MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina
Follow Us Here