Kwa mwenye habari kamili kama Mtihani wa taifa form six mwakani ni May, nimesikia tetesi chini chini ila sina hakika
Kwa mwenye habari kamili kama Mtihani wa taifa form six mwakani ni May, nimesikia tetesi chini chini ila sina hakika
Niisoma tarifa hii wavuti - wavuti kwa mara ya kwanza kabisa NI KWELI
Wacha madogo wapate tym kupiga msuli.
mmmmmmm Necta hata wakupe miaka 10 kama uwezo mdogo mdogo tuuuu...
Hii necta tena ya form six,, ikipelekwa mbele wa2 ndo watafeli zaid maana watasoma vi2 unnecessary,, bora 2 waiache ilivyokuwa!
hakuna kitu kama hicho wakuu,hili lilikuwa wazo la mbunge wa CDM viti maalum wakati akichangia hotuba ya waziri wa Elimu,hata hivyo halikutiliwa maanani
Follow Us Here