Tembelea website zifuatazo
TIA - http://www.tia.ac.tz/index.php?optio...blic&Itemid=73
IAA - http://www.iaa.ac.tz/09/index.php?op...=87&Itemid=112
MUCCOBS - http://www.muccobs.ac.tz/pdf/MUCCoBS...ON_2012-13.pdf
Hongereni mliochaguliwa.
Tembelea website zifuatazo
TIA - http://www.tia.ac.tz/index.php?optio...blic&Itemid=73
IAA - http://www.iaa.ac.tz/09/index.php?op...=87&Itemid=112
MUCCOBS - http://www.muccobs.ac.tz/pdf/MUCCoBS...ON_2012-13.pdf
Hongereni mliochaguliwa.
Dah naona kitu kimetema kweli mliopata tupeni feedback. Vp SAMITI a.k.a Mpigamsuli?
Nadhani hata TIA wameachia wakuu
Mkuu fanya makeke basi uyatupie jamvin.
http://www.muccobs.ac.tz/pdf/MUCCoBS...ON_2012-13.pdf LINK HIYO HAPO!
Hayo majina yametoka tcu kweli,au ni direct applicants?
Wapi mpigamsuli?
Atakaye fanikiwa kuaweka matokeo kabisa atakua ametenda jambo la msaada.
IAA LINK HII HAPA
Ila mbona hapa sijaona Undergraduate kutoka tcu? Nimeona watu wa masters,diploma na certificates.
Last edited by Msafiri Kasian; 18th August 2012 at 09:03.
mkuu mbona hakuna za bachelor.?
Wakuu lakini muccobs na TIA wameweka za undergraduate, then kumbukeni humu ndani hatuweki news za watu wa tcu pekee hata wa ngazi zingine wapo.
TIA HAPA
Lakini pia hapa sidhani kama kuna wa bachelor.
Kwahiyo hakuna hata mwanajamvi mmoja aliye chaguliwa???
Tunashukuru kwa msaada japokuwa ckuchagua hvyo vyuo.
wjameni vipi ya mzumbe na saut
kwa mnaoweza kuyaweka humu jukwaani fanyeni hivyo kwa manufaa ya walio na simu zisizo na pdf
Follow Us Here