Tembelea website zifuatazo
TIA - http://www.tia.ac.tz/index.php?optio...blic&Itemid=73
IAA - http://www.iaa.ac.tz/09/index.php?op...=87&Itemid=112
MUCCOBS - http://www.muccobs.ac.tz/pdf/MUCCoBS...ON_2012-13.pdf
Hongereni mliochaguliwa.

,ipycalpse nimechaguliwa muccobs
mbona hizo za tia ni postgraduate na diploma?
kaka acha masihara za undergraduate TIA hawajatoa msiwape watu presha
Niliweka pamoja kwasababu kuna watu wanazihitaji samahani kwa usumbufu wakuu
Wakubwa mwenye nazo tafadhali 2pia humu wengne cm hazina pdf,2saidiane pls (MUCCOBS)
VP kuhusu SAUT na ARDHI pamoja na vyuo vingine?!
mkuu saut kishanuka zamani sana chek poct zingine
oya wadau naombeni mnichekie hili jina jackline mtungi kwenye human resource pamoja and bachlr of economic devlpmnt
Follow Us Here