Tembelea web ya chuo: http://udom.ac.tz/index.php/list-of-...mmes-2012-2013
Tembelea web ya chuo: http://udom.ac.tz/index.php/list-of-...mmes-2012-2013
Life is like video footage Hard to edit directors,that never understood it
mbona czioni hzo za UDOM?
2pieni hapa mtusaidie wenye cm
daah mbona SUA wanabania niaje
yan hawa tishi-yu sijui wanangoja nini?? haya UDOM hao washafunguka,tumain tiari,UDSM zishavujishwa wao bado wamelala fofofofofofo!!!
na hizi ndo habari tunataka humu...sio kupeana presha!!!
A'm IN GUYS
wenye pc wasaidie kuzibadili kweda pdf ili wenye simu nao waweze kuziona au waweke kwenye format inayoweza kuonekana na kamchina, ni ombi
Wakuuu mimi naona ni wale waliomaliza 2009 kwenda chini. sioni wa 2012
A'm in GUY'S
daaaaah Kweliiiii Chenyeweeeee....
kama huna Adobe..android Quick office
Walio omba kupitia tcu pia wamo?
haya ni majina yote ya waliochagulwa DOM, Me nimechek na masela kibao wamo
jamani naomben msaada nikifungua hzo selection kwa my pc hzo zote zilizo andikwa xls zinagoma ku open nifanyaje jamani...ila adobe zinafunguka vzuri
Follow Us Here