Wakuu habari,hv inawezekana kama mtu amechaguliwa C.B.E ya dodoma akaomba kuhamia C.B.E ya dar,natanguliza shukrani.
Wakuu habari,hv inawezekana kama mtu amechaguliwa C.B.E ya dodoma akaomba kuhamia C.B.E ya dar,natanguliza shukrani.
Hiyo kitu inawezekana kabisa ongea na utawala itakuwa pouwa, but kama uliomba kwa tcu una kazi kubwa na safari ndefu coz huwa wanasumbua sana kufanya transfer
''If You Are Always Telling The Truth You Need To Remember Nothing''
Na kama utakua na mkopo itakusumbua baada ya kuhama utasubr cku kadhaa had mkopo uhamshwe
Duh fanya hivyo watakuamisha tuu coz wako kwa kazi ya admission zenu xo zey must hlp u
''If You Are Always Telling The Truth You Need To Remember Nothing''
Nenda kwenye chuo unachotaka kuamia, ongea utawala kuhusu nafasi, ukipata rudi TCU uwaambie wakufanyie transfer ya jina. Utafanikiwa.. Usisahau kumuomba mungu
Follow Us Here