Napenda kuuliza kama kweli wizara ya elimu imetoa fursa ya pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa ktk level ya Stashahada (vyuo vya ualimu) kufanya tena application.
Napenda kuuliza kama kweli wizara ya elimu imetoa fursa ya pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa ktk level ya Stashahada (vyuo vya ualimu) kufanya tena application.
we ulikosa na haukuapply tcu?
Ni msaada namfanyia kijana mmoja. He seems to be confused. Hakufanya application tcu kwani hakuwa na imani na credits zake. So his first and last hope was ttc.
nadhan kwa maelezo zaidi ungevisit moe saabu ndo wanahusika zaid
Follow Us Here