Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Majina ya walioshindwa TCU!!

    Report Post
    Page 5 of 5 FirstFirst ... 345
    Results 81 to 81 of 81
    1. #1
      Gregory93's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 17
      Rep Power : 350
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Exclamation TCU vipi mbona wengine status selection zinaonekana tuwaelewaje kwa ambao za kwetu hazionekaniki

      mbona kwenye profile nyingine kama ya rafiki yangu kunazo selections zote alizochagua kwangu hamna kitu kama hicho nashindwa kuelewa tcu wanamaanisha nini kwa ambao selection status zetu hazipo sasa sijui kwa ambao za kwetu hazionekaniki ndo tuombe second chance or........????

    2. Miaka 50

    3. #81
      Ipycalypse's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2011
      Location : Mjini hapa
      Posts : 1,180
      Rep Power : 641
      Likes Received
      248
      Likes Given
      148

      Default

      Quote By QUALIFIED
      jamani mi nafikiri ni wakati serikali ifikirie kurudisha system ya zaman ya kuapply direct institution mtu anayotaka maana naona kuletwa kwa tcu imefanya application system iwe slow au mnaonaje wakuu
      System ya zamani ilikua nzuri kwa wenye hela na waliofaulu vizuri. Kwasabu mtu ulitakiwa ulipie elfu 30,000 kila chuo sasa hapo ufaulu ndio utakao kubeba kuna wengine wanapata vyuo vyote wengine hawapati hata kimoja.
      Sasa hivi uhakika wa kupata chuo ni mkubwa kuliko zamani.

    Page 5 of 5 FirstFirst ... 345

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...