Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Taarifa kwa Wanajukwaa la Elimu.

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 47 of 47
    1. #1
      Ipycalypse's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2011
      Location : Mjini hapa
      Posts : 1,173
      Rep Power : 638
      Likes Received
      248
      Likes Given
      148

      Default Taarifa kwa Wanajukwaa la Elimu.

      Kwanza kabisa nawaomba radhi kwa kuweka kitu tofauti na maudhui ya jukwaa, lakini imenibidi kufanya hivi ili kuokoa jukwaa letu tukufu.

      Siku za hivi karibuni wameibuka wadau ambao wanamlengo wa kushusha hadhi ya jukwaa kwa Thread zao zisizo na tija. Mfano mtu anaandika Helloooo then ukifungu hukuti kitu, au mwingine anaweka heading ya TCU NEWS, BREAKING NEWS, TCU WATOA MAJINA. NA HEADINGS NYINGINEZO ZENYE KUAMSHA HISIA. LAKINI UKIFUNGUA HUKUTI CHOCHOTE CHA MSINGI.

      Pia kuna wenzetu wenye tabia ya kuweka Thread ambazo tayari zipo, pia nadhani si uungwana.

      Ndugu zangu katika kulinusuru jukwaa hili ni vema utakapo kutana na thread za namna hii kuireport kwa mods ili iondolewe na si kuendelea kuicomment.
      Pia thread hizi zinatia hasira nakupelekea BAN kwa baadhi ya wajumbe.

      NAPENDA KUOMBA RADHI KWA MARA YA PILI KWA KUIWEKA POST HII MAHALA HAPA.
      AHSANTENI.
      Last edited by Ipycalypse; 16th August 2012 at 14:59.

    2. Miaka 50

    3. #41
      Ipycalypse's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2011
      Location : Mjini hapa
      Posts : 1,173
      Rep Power : 638
      Likes Received
      248
      Likes Given
      148

      Default Re: Taarifa kwa Wanajukwaa la Elimu.

      Quote By Awadh Mabaraza
      Sikulaumu nailaumu serikali yako iliyokupa uhuru usiojua matumizi yake. Jifunze kuelewa kukariri hutofika
      Join Date : 7th August 2012
      Posts : 21
      Rep Power : 306
      Likes Received0
      Likes Given0
      Life is like video footage Hard to edit directors,that never understood it

    4. #42
      Mpatanishi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2011
      Location : Sinza Dar es salaam
      Posts : 1,426
      Rep Power : 9194
      Likes Received
      252
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Awadh Mabaraza
      Sikulaumu nailaumu serikali yako iliyokupa uhuru usiojua matumizi yake. Jifunze kuelewa kukariri hutofika
      sasa uhuru wa maoni ndio kupost upuuzi?! Hv ww mzima kweli kichwani?

    5. #43
      enoc's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th August 2012
      Posts : 81
      Rep Power : 357
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mpatanishi
      sasa uhuru wa maoni ndio kupost upuuzi?! Hv ww mzima kweli kichwani?
      wewe hacha kujfanya unauchungu sana mbona haya malumbano yapo long sana yan wenzako waona ya kawaida we unakaaaaza mitandao jamii n ming na humu hujafungwa kamba. Tafakar chukua hatua ka gt

    6. #44
      enoc's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th August 2012
      Posts : 81
      Rep Power : 357
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Ipycalypse
      Awadh Mabaraza ni vema ukaficha ujinga wako, sidhani kama kuna mtu ana hamu ya kuusikia.
      mkuu umevunja sheria namaba moja ya jf, na kwa alchokiongea m cna ham 2 ya kuksikia na kufanyia kaz pia nawaslsha

    7. #45
      enoc's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th August 2012
      Posts : 81
      Rep Power : 357
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Ipycalypse
      Join Date : 7th August 2012
      Posts : 21
      Rep Power : 306
      Likes Received0
      Likes Given0
      mkuu hcho ulcho kfanya c cha hekma kwa GT kwa hyo ukubwa c mata ila hekima ndo mata produce v2 zenye mashko il 2kuone kwel we GT. Nawaslsha

    8. FemaTV & Radio

    9. #46
      Awadh Mabaraza's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th August 2012
      Posts : 69
      Rep Power : 355
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mpatanishi
      sasa uhuru wa maoni ndio kupost upuuzi?! Hv ww mzima kweli kichwani?
      Kwa jinc unavyozitumia fikra zako. Itakuchukua mda mrefu kuelewa nlichokiongea.. Pitia post zangu then think again.

    10. #47
      Awadh Mabaraza's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th August 2012
      Posts : 69
      Rep Power : 355
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By enoc
      mkuu hcho ulcho kfanya c cha hekma kwa GT kwa hyo ukubwa c mata ila hekima ndo mata produce v2 zenye mashko il 2kuone kwel we GT. Nawaslsha
      Ndugu una bonge la IQ. Nakushukuru na nawashukuru wote wenye fikra chanya. Nyi ndo mnafaa kuitwa great thinkers..

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...