UDOM....AFWATILIE, tena AHOJI WANAFUNZI kama kweli waligoma kusaini vitabu vya majina kupewa mikopo..yeye mwenyewe, achukue sampo ya walionyimwa vyeti.
wenzenu bodi na chuo wanaubiri ikipita huu upepo wale mabilioni ya mikopo ya wanafunzi
my take

?
mkuu, mbona haujafahamika?
Fafanua plz
kaka funguka wewe ha2jakuelewa, umekakaa umexoma shule ya kata
Wewe ni mwanafunzi wa elimu ya juu?!!!
"To greed, all nature is insufficient"
Kiroba original plus ugumu wa maisha chuoni izi iko tu frustration
Kheee huyu ni msomi wa chuo kikuu!? Halafu mnaanza kusema hampati kazi maana kujieleza sifuri
Ni hatari sana kwa afya yako kushabikia siasa za Tanzania....
Usirud mtoa mada, utaaibika tena..nyau we!
We ndo umeropoka
Heading ni tofauti na ulichoandika,of-course tz ni nchi ambayo mjanja yeyote kutoka nje anaweza kuja na kukaa so kama kiswahili ni kigumu funguka hata kwa lugha za kwenu kule congo,somalia,ethiopia, nk 2tajaribu kukupata 2.
To be continued..........
Follow Us Here