Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza
Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza
tunasubiri kwa hamu
hellow
heeee kweli jamaniii au?
hiyo ni habari rasmi mkuu?
...nitoe pongezi zangu za dhati kwa jamaa aliyetupatia taarifa hizi muhimu. Ni jambo la maana na la heshima kwamba jamaa has managed to grant us trust worthy information to most of us.
Kabla sijaendelea natangaza maslahi na hayo matokeo kwani ni moja ya expectant 1st year udsm. Kwa hiyo niko pembeni na mgogoro wa kimaslahi. Nionavyo mimi tcu wanadeserve hili lilowakuta. They had a full month to process the applications through comp system which is trusted and worthy of use all over the world cause it's speedy and accurate. Sasa kama katika mazingira hayo wameshindwa kuweka kila kitu sawa..,hii ni adhabu tosha na siku nyingine wajifunze.
Waungwana mtakumbuka vyema programs zilikuwa zinaandikwa not elligible na elligible ilionesha kama vile mambo yanaharikishwa sana na wengi tulitegeme majibu mapema kumbe zote zilikuwa mbwembwe tu.
Hao IT officers wanaonekana kupwaya kiutendaji eti baada ya dsm kuvuja wakafunga servers ili watu wasione not yet processed hali tokeo liko nje. Waache uzembe wawe mahiri na wenye kasi. Next year lisitokee. Wale wadau wa vyuo vingine vuteni subira hadi kila kitu kitengamae. Wa dsm tujiandae vyema kiakilli. Tena nisihi tuzitangulize mind zetu chuoni ili tukifika kazi iwe moja kitabu tu kwa maendeleo yetu binafsi na umma kwa ujumla.
Naomba kutoa hoja.
Ndugu zangu TCU inafunga but kile kipengele cha view my selection status hakipo inakuwaje hapo
Aisee hata kwangu view my selection imetoweka kama sa1 lilipita,nahisi mambo yanakaribia
Ha ha... Niambie kallago, ww niyule wa usagara eenh? Mtt wa seminary?
Imetolewa ili 2cone 'not yet processed'na kat 4 udsm its ready.
Mambo yameiva kaeni mkao wa kula
kaka as a told u before kitu ni leo
Yan these pple wanacheza na life za wa2.huku cntofahau itaisha ln.hope 2day wafanye kwel bhana.(TCU)
Follow Us Here