Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza

Vp kuhusu Mlimani na Udom jamani je hawajatoa bado???
Fanya kunipa link ya mojamoja kwa moja niyaone coz me naingia nakuta certificate na diploma 2. hopl ts tumaini Iringa au nakosea
i thnk itakuwa true coz kuna washkaji wangu nimewachek waliomaliza form six mwaka huu
Hakuna me nataka wa2 wawe na huakika na threads zao maana me nachek nakuna na majina ya vyeti na dip 2 kaka
Yatakuwa kweli sababu nimemwona mshkaji wangu yupo.
Maluweluwe
Mbona kujitetea kwingi kaka majina ya direct applicants yale co via tcu kaka, jipange
haya sasa link hiyooooooo Selection Results for academic year 2012/2013
Re: Hatimaye t.c.u wametoa majina ya selected applicants for 2012/2013 years of studies in iringa un
Mbona kujitetea kwingi kaka majina ya direct applicants yale co via tcu kaka, jipange
Hivi vyuo vingine vinasubiri nini hata kupost majina ya waliochaguliwa kwenye website zao.Hii kuwa niko admitted ya TCU hatuimani sana hasa ukizingatia yale mambo ya eligible na not eligible hata kama ulikuwa na sifa zinazotakiwa.
oya i thnk itakua true coz kuna washkaji wangu wamemalia 4m6 mwaka huu na nimewaona pale
Follow Us Here