Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza
Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza
teeh teeh.....................
Mambo hayaendi....
Guyz no offense at all but do u actually think if the result were to be released today they wouldnt hav been released by now..!!!!?
My instincts tells me its not today...
Wameongeza siku kwa wale wanaoomba upya na wale waliokosa warudie kuanzia leo 13/08/2012,kwa wale wanaorudia hawatalipa garama tena
Time inasepa.......
kama matokeo ya NECTA yanavotoka, ndivyo hivyo na TCU+HESLB! yani ni baadae sana! (sorry if you find this weird)
Most discoveries happened by accident!
mbona nikifungua kwenye selected program zangu tcu inaniandika serve z nat found au ndio nirudie kuapply tena
tulizeni munkari TCU wanafanya kazi na HESLB... Wao wakishamaliza kitu chapgiwa mchakato wa LOAN.. Then ndo yanatoka matokeo full.. Chuo na loan allocation..
Wasio na pumzi huenda mkazimia.. Mchakato wa LOAN si mchezo.
Hayo majina watalia watu pind matokeo ya kweli yatakapotoka maana ninauzoefu flan na haya mambo kwa three years now xo watch out wale mliopata vyuo, but all in all wait for TCU to publish their names and not else, free advices to who believes in this case and sorry to those who won't listen this
ki2 kesho jamani, kuna tangazo kwenye home page ya TCU
wao wametoa majina ya waliokosea kujaza zile form!
washkaji jua linakaribia kuzama..
naunga mkono hoja
sorry guys,nimefungua profile yangu nimekuta hyo link ya scnd sellection,tht means nimekosa first slction,au hii ni wote
Follow Us Here