Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza

yani yaspotoka leo sisubiri tena
Kweli mkopo ndo mpango mzima,chuo bila mkopo kwa wenzangu na mimi ni sawa na bure.
Kaka tatzo wakubwa wanawekana wa2 hambao hawana utaalam ucka ndo mana 2naishia kuumzwa manyanga ya wa2 wasio na utaalam
nilikuwa nimeshaanza kuchoka kuyasubiria. natumaini hili ni la ukweli
website ya TCU kwa sasa imekua ni mzigo tu......siku ya 5 leo haifunguki.
Yatakuwa yametoa mustakabali wa elimu ya sisi formsixlivaz coz hom panachosha mnoo sensa yenyewe majinayetu yamewekwa kwenyee..................in
wakuu kuna something new kwenye web ya tcu..wameandika kitu kuhusu 2nd selection
Follow Us Here