Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza
Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza
Da inachosha hasa pale unapofanya kazi ya kijiji,
mi nina madogo kibao wapo kijijini ni cm kila saa mpaka night kali,
sasa majina yao kwa walio kosa hayapo,
kwa wanaoitwa second selection hawapo,
kwa waliokosa mkopo hawapo,
kwa waliojaza nusu nusu hawapo,
Jamani ntawajibu nini hawa ndugu???
Na je tutajuaje kama form za mkopo huko DSM walizipata??
alafu profile zao,
selection status___NOT YET PROCESSED.
elegibility_________ELIGIBLE.
SASA WAMEJUAJE ELIGIBLE WHILE NOT YET PROCESSED???
kanuni ya kupata ni kutoa
Daaaaaah
Ok kumbe ndio jina lako? Mkuu kama kitufe cha 2nd round application hakipo active jua umechaguliwa, kama kipo active fanya mpango wa kuapply
Last edited by Ipycalypse; 17th August 2012 at 18:20.
topics humu vichwa vya habari tofauti vimechanganywa sana, mtu awezi pata thread asome jambo re kama kupigiwa simu na kujua habari yake inabdi asome hatayasiyohitajika kwake. i guess mnataka watu wasechi hadi basi, au wainngie ndo maana topic zinajirudia. sio lazima thread iwe na posts nyingi kukaa yenyewe ktk forum, au kuwa na kuangaliwa sana.
mods si msubiri watu waanze chuo, wanategemea jf for info inakuwa kama...natafuta sentensi tena as imeniponyoka.
jisome tabia, jibadili ikiwa duh na raha utapata sana tu.
Wana jf kama kuna ambaye ana tetesi za waliochaguliwa na tcu 2012/2013 kwa vyuo vifuatavyo anisaidie; Tumaini makumira.saut,st.john's,jordan ,stefano moshi memorial
tcu wanazingua xana sema mambo yako jikoni ko tuendeleee kua wavumilivu
Jamanii! Me naombeni msaada maana nahis uböngo wangu haufany kaz!b4 kwny account yang niliandkiwa you are admitted then leo kitufe cha 2nd application kipo active.na kwenye yale majina ya ambao hawajachaguliwa simo
jaman na hayo majina siyaon,,,,,yako wapi?
kijana acha kuwa mburula wewe ndo mzee wa kusubiria internet wireless kwenye ofisi za wa2 halafu kuwa kama msomi dogo
out of ur bissness boi
Follow Us Here