Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza
Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka ufanya application upyaMatokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza
Kama haupo katka lst ya kurudia kep wait.
Majina ya selection za Udsm yanapatikana wapi? Coz nimetafuta sana tcu na web ya udsm but nothing
wakati ukifika kila kitu kitakuwa wazi. yaani una maana mtu ambaye ni sehemu ya admin ya chuo ndo kakupigia? hivi huoni kama unajidanganya mwenyewe? hakuna chuo chenye utaratibu huo, kupigiwa simu.
mna usongo sana na masomo enhee? AU TAMAA YA BUMU?
UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE
Ni sahihi kabisa hilo huwa linafanyika kwa baadhi ya vyuo, Pia hutuma email ili kukujulisha na kutaka uthibitisho kutoka kwako kama utajiunga na chuo chao. Kumbuka ulipojaza fomu za TCU uliweka mawasiliano yako ya simu na email. Kuthibitisha hilo waweza kuwapigia kwa hiyo namba na kujalibu kuwaulizia mfano kuhusu barua ya kuitwa chuoni, au kuulizia ghalama za ada ukijifanya kwamba wataka kujilipia mwenyewe. Hivyo ondoa shaka ni kweli baadhi ya vyuo hupiga simu. (NB:Nipo kwenye chuo kimoja na huwa tuna huu utaratibu).
mimi ningeshauri watulie tu kwan TCU ni waelewa na watatenda jambo kwa ajili yao
@Pokofame
Ni kwel,huo ni upepo unapita!
"Jamani mi nadhani selection tusubili baada ya tarehe 25 wakimaliza 2nd round application la sivyo tutatiana pressure bure!"
Hizo PDF za vyuo vingine Zipo Wapi??
Yaani vyuo vya bongo vinapigia prospective candidates? Manake hii ipo UK, tena wanakupigia na kukuambia ada ni 40,000 £ only excluding meals and accommodation. Unaelewa why it is worth kukupigia simu hata mchana kutwa mtie stori. Nahisi unatapeliwa, next utapigiwa umekosa utoe hela kidogo!
yaelekea wewe zuzu, mimi nimepost mada kutaka kupata na wewe upate udadavuzi wa haya ya TCU wewe unaingia na ishu za CCM na kuajiriwa TCU nani kakwambia mimi niko TCU? kwamba tumeshindwa kazi mimi ni husiana nini na kazi za TCU? ETI mimi CCM ulinipa kadi? dadavua mada na si kuleta siasa za uchuara hapa kwa wasomi bhana, mimi nawasaidia nyie watoto mnaotaka kuenda vyuo kwa mfumo mbovu wa TCU unaniletea habari za egypt na libya? Mimi nimemaliza chuo na nina digrii ya uhakika tena NIMEINGIA CHUO KWA KUFANYA MTIANA.........MARTICULATION.. ........ILIYOKUA INACHAMBUA VICHWA MAKINI VILIVYOFAULU FORM SIX KWA KUTUMIA VICHWA VYAO NA SIYO wa TCU mnao fanya forgery mnaingia chuon bila kutathminiwa kama ndo mliofanya mtihani wa Six! angalia tabia zao watoto wa tcu mlivyona tabu vyuon ndoo maana tukiwa chuon tuliwaita .............TCU...........saa hivi wote TCU sijui mtaitanaje! tafakari!
Acha mashudi kijana nini maana ya dakika tano sasa be specific au we ndo unaendaga kutega kwenye maofisi ya wa2 wenye wireless internet nini ukakuta wameshafunga
Follow Us Here